Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
natafuta wimbo wa msondo ngoma unaitwa Kasimu, vionjo vyake unapokuwa hunapesa nyumbani hutoki Mwisho wa mwezi unapofika kasimu huonekani
 
kuna wimbo wa ccm wa kampeni 2015 wa miondoko
una maneno kama wa bara nA visiwan ngoma lipo uwanjan
kinyanganyiro october siku ya nani na nani mwenye nao

Attachments

Bend ya olduvai gorge wimbo unaimbwa njaa tumelala

General defao kosalangu baba unii hurumi kama ni watoto fika kwetu kosa utawaona
 
Wadau mwenye nyimbo za mwinjuma muumini kwenye ile albam ya tunda maisha kitendawili weka ata albam nzima af ni pm nikupe posho kidogo
 
Attachments

Mkuu Mlamoto asante sana, huu wimbo wa Zao hatimae nimeupata.....

Asante sana tena zaidi ya sana.

Sasa kwa mwenye nyimbo za taarab za kina Ally Tajiruna, Ally Star au hata tunzi zao wakati huo wakiwa na ushindani wa TOT na Muungano pia za ustaadhi Hamdani anisaidie tafadhali
 
Kuna wimbo mmoja hivi waliimba na vijana fulani hivi kwa lafudhi ya kichaga.....

“Ni jinsi gani tutawini maishani mpaka siku tunasema buriani.......”

“Aaaah ni namna gani aaahh ni jinsi gani.....!!!”

Kama sikosei baadhi ya mashairi yana sema hivyo....
 
Bend ya olduvai gorge wimbo unaimbwa njaa tumelala

General defao kosalangu baba unii hurumi kama ni watoto fika kwetu kosa utawaona
Bend ya olduvai gorge wimbo unaimbwa njaa tumelala

General defao kosalangu baba unii hurumi kama ni watoto fika kwetu kosa utawaona
 
Attachments

Kuna wimbo mmoja hivi waliimba na vijana fulani hivi kwa lafudhi ya kichaga.....

“Ni jinsi gani tutawini maishani mpaka siku tunasema buriani.......”

“Aaaah ni namna gani aaahh ni jinsi gani.....!!!”

Kama sikosei baadhi ya mashairi yana sema hivyo....
 
Attachments

Mkuu Mlamoto asante sana, huu wimbo wa Zao hatimae nimeupata.....

Asante sana tena zaidi ya sana.

Sasa kwa mwenye nyimbo za taarab za kina Ally Tajiruna, Ally Star au hata tunzi zao wakati huo wakiwa na ushindani wa TOT na Muungano pia za ustaadhi Hamdani anisaidie tafadhali
 
Attachments

Natafuta wimbo ambao ni instrumental, hutumika TBC tv kuambatana na matangazo ya wafu. Siujui jina.
Hebu jaribu kusikiliza ule wimbo wa r. Kelly if i could back the..... Of time.
Nadhani ni beat ya wimbo ule
 
Back
Top Bottom