Meja mstaafu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 531
- 1,121
Kuna wimbo mmoja unaimba dunguru dunguru du Basupa wa wenge musica, naombeni jina lake please.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenzenu nimekumbwa na kimbunga
Si kimbunga cha upepo Bali kimbunga
Cha mapenzi mama
Toka siku ile ya kwanza nilipomuona
Msichana mrembo jully nilishindwa kujizuia nikamweleza wangu ukweli yakua
Nimpenda nae akanijibu jully asante kwakunipenda.dah wakuu hii ngoma hatari aliimba Bob ludara jina silijui nisaidieni niupate
Ismaili -inaitwa ombi languhivi ni lini ombi langu litajibiwa, hivi lini ombi langu litakubaliwa naomba kwa mola usiku kucha likija jibu lije jibu la furaha, huu wimbo umeimbwa na nani?
Hujaimbwa na Wenge Musica bali umeimbwa na Les Bulla.Kuna wimbo mmoja unaimba dunguru dunguru du Basupa wa wenge musica, naombeni jina lake please.
Nna simu yangu na ndugu zanguuna nyimbo za solo thang zile za miaka ya elfu 2 mwanzoni? nimehangaika sana kuzipata. kama unazo ntashukuru mkuu.
Ninaoutafuta ni wa zamani kidogo, nakumbuka nikiwa Dodoma kwenye Mwaka 1981 walikuja Marquiz Du Zaire wakapafomu kwenye uwanja wa Jamhuri, moja ya wimbo ulionigusa sana unaitwa CCM. Mimi sio mpenzi wa ccm, lakini naupenda huo wimbo nimeutafuta kwenye mtandao sijafanikiwa kuupata. Naongolea Marquiz ya Ogelea Piga Mbizi ikiwa na King Kiki, Supreme Ndala Kasheba na Nguza
Natafuta wimbo wa vijana jazz unaitwa siri ya ndani.