Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Kuna goma lilikua linaitwa Msafiri la kitambo sijui nani kaimba ile, mwenyenayo tafadhari

Sugu - hayakua mapenzi

Na kuna goma walikua wanaimba "Hip hop sahihi ...." sikumbuku ni ya nani?
 
Hizi hazijaombwa lakini huenda zikawafaa
 

Attachments

Nyingine hizi
 

Attachments

Back
Top Bottom