Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

Attachments

Wakuu naombeni wimbo wa Kisiki cha mpingo by Mchinga sound

"ᵀʰᵉ ᶠⁱʳˢᵗ ʳᵘˡᵉ ᵒᶠ ʷᵃʳ ᵃⁿᵈ ᵇᵘˢⁱⁿᵉˢˢ ⁱˢ ᵗᵒ ᵏⁿᵒʷ ʸᵒᵘʳ ᵉⁿᵉᵐʸ"
 
Wadau wa oldsongs natafta sana hizi nyimbo
0.Bob Marley ft lauryn hill-Goodlove
1.TMK majita-Tunadatisha
2.Dudu baya-Kaza Buti
3.Bamboo-(wanaimba,nilimkoseaa sasa amepotea hee yaheyahee nisamehee)
4.Nyimbo ya clouds-shangwe za kila mwaka
5.Necessary noise-Kenyan boy
6.Na intro ya Professor jay-Jina langu(huwa kanaimba katoto alaf kanakohoa)

Natanguliza shukrani[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba msaada jina la huu wimbo hapa.
 
Attachments

  • A.mp3
    A.mp3
    910.2 KB · Views: 140
Wadau wa oldsongs natafta sana hizi nyimbo
0.Bob Marley ft lauryn hill-Goodlove
1.TMK majita-Tunadatisha
2.Dudu baya-Kaza Buti
3.Bamboo-(wanaimba,nilimkoseaa sasa amepotea hee yaheyahee nisamehee)
4.Nyimbo ya clouds-shangwe za kila mwaka
5.Necessary noise-Kenyan boy
6.Na intro ya Professor jay-Jina langu(huwa kanaimba katoto alaf kanakohoa)

Natanguliza shukrani[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Attachments

Naomba jina la bendi na wimbo. Ahsante.
 
Attachments

  • B.mp3
    B.mp3
    590.5 KB · Views: 112
Kuna wimbo ulikuwa unaonyesha kipindi hichoo TV ya c2c wasanii wenyewe wafupiii ulikuwa unaimbwa hivi "huu ufupi kweli wee huu ufupi unanipa tabu" kuna sehemu anasema alipada demu mrefu wakamchukulia kwa sababu ya ufupi nahisi msanii anaitwa amiri wimbo unaitwa huu ufupi nisaidieni tafadhali

Mkuu itakuwa na wewe ni mfupi kupitiliza[emoji4][emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wimbo unaitwa wa kusoma,muimbaji nimemsahau ila wa kitambo xna.Chorus inasema;"wa kusoma shule unaicheezeea,m m mm kusema nini unategemeeea....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom