tiny madin
Member
- Sep 10, 2024
- 24
- 28
Mimi natafuta nyimbo mbili zote za msanii mmoja ya kwanza inaitwa take a ride na nyingine in your face zote zimeibwa na Saigon wa deplowmatz msaada Kwa mwenye nazo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu samahani unaweza kuwa na nyimbo za album ya mgumba African revolution band na Ile ya maisha kitendawiliBaadhi hizi hapa
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Wanaitwa Jagwa Music ngoma inaitwa "Mpango mzima" nenda YouTube search upo kule. Kuna original version na version ya jukwaani wakiwa ulaya. Chukua hiyo ya jukwaani.Naomba anaye ufahamu wimbo wa mnanda wenye maneno haya kwenye kibwagizo"baba zulula siyo kweli bwana wee!mtoto umezaa mwenyewe usimchoke bwana ooo!Ayaa njooo,njooo,njooo".
Nauomba.
huu ulipatikana na mimi nauhitaji aiseeeNatafuta wimbo wa Dogorii feat Juma nature unaitwa - Funga zipu yako
Sent using Jamii Forums mobile app
..huu ulipatikana na mimi nauhitaji aiseee
Ahsante sana mkuu
Sio Ruby na Kusah #nadondosha?Mimi natafuta muziki wa kibongo nahisi umetoka miaka ya 2016 kama sikosei,umeibwa na mwanamke na mwanaume,kiitikio chake mwanamke anasema#mwanaume kapuku hunifai kabisa# na mwanaume ndo anaanza kuimba kama vile anamtongoza huyo demu,But sio wimbo wa Vanessa Mdee na Mwana F-A
Ukutiii ukutti. Wa mnazii wa mnazii....endekeaHuu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
Hebu sukilize huu kama ni wenyewe. Maana una mashairi kama hayo uliyoandika hapo juuDully sykes. Dada mwajuma , it goes paraparipa papapaa paraparipaa paa..