Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Mimi natafuta nyimbo mbili zote za msanii mmoja ya kwanza inaitwa take a ride na nyingine in your face zote zimeibwa na Saigon wa deplowmatz msaada Kwa mwenye nazo
 
Wimbo wa zamani wa kanisa katoriki unaanza hivi...
Naasi tumesadiki,tena tumekuuwa yakuwa,weeeewe bwaana ndiwe mtakatifu wa Mungu
Huu ni uzi maalum kwa MwanaJF kutoa Wimbo wake ambao amekuwa akiutafuta kwa miaka mingi, Bila ya Mafanikio. Kwa yule aliyenao anaweza kumsaidia mwenzie kwa kumtumia wimbo huo hapa.
 
Naomba anaye ufahamu wimbo wa mnanda wenye maneno haya kwenye kibwagizo"baba zulula siyo kweli bwana wee!mtoto umezaa mwenyewe usimchoke bwana ooo!Ayaa njooo,njooo,njooo".

Nauomba.
Wanaitwa Jagwa Music ngoma inaitwa "Mpango mzima" nenda YouTube search upo kule. Kuna original version na version ya jukwaani wakiwa ulaya. Chukua hiyo ya jukwaani.
'Usiseme mpango mzima wakati hauna hela'
 
Mpaka Sasa nimeshindwa kupata nyimbo za tam tam shangingi la karne na mjomba njaa
 
Mi nnatafta nyimbo zifuatazo
1.Ukimwi by Double M sound
2.Supestar -bongo flavor ya kitambo humo ndan TID alkuwemo,rapper smkumbuk alkuw kama hajui kiswahili vzur
3.Dar es salaam by night by Kiloman
4.wimbo wa akon wa ktambo...kweny video walvalia nguo za bendera ya senegal af maandhar ya ucku ucku hiv wamekoka na moto
 
Mimi natafuta muziki wa kibongo nahisi umetoka miaka ya 2016 kama sikosei,umeibwa na mwanamke na mwanaume,kiitikio chake mwanamke anasema#mwanaume kapuku hunifai kabisa# na mwanaume ndo anaanza kuimba kama vile anamtongoza huyo demu,But sio wimbo wa Vanessa Mdee na Mwana F-A
 
Natafuta wimbo wa gospel niliwahi kuusikia mara moja tu 2018, ni mdada kaimba "mbingu nayo nchi, yote hayo ni mali yake, mwanadamu eeh eeh ukumbukwe naye...."
 
Mimi natafuta muziki wa kibongo nahisi umetoka miaka ya 2016 kama sikosei,umeibwa na mwanamke na mwanaume,kiitikio chake mwanamke anasema#mwanaume kapuku hunifai kabisa# na mwanaume ndo anaanza kuimba kama vile anamtongoza huyo demu,But sio wimbo wa Vanessa Mdee na Mwana F-A
Sio Ruby na Kusah #nadondosha?
 
Back
Top Bottom