Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?
Nautafuta muziki wa hamza Kalala toka lini ngozi ya kitimoto ikawambwa ngoma na baba Jeni byebye
 
Wakuu naonbeni naenda ukivaaa kanga Moja napenda ukivaa kimini menapenda uvaejipya apokwake sijiwezi WHTSPP NO 0613124087 ANITUMIE MWENYENAYO
 
Jamani naombeni
1. Careless whisper
2. I wanna know Joe thomas
3. I'm coming home Morgan Heritage
4. Coconut tea sweet regge
 
Wakuu msaada natafuta wimbo wa Stara Thomas Mbiti unaitwa "visa".
 
Back
Top Bottom