Nikikumbuka vita ya siku 12 kati ya Israel na Iran nacheka sana

Hawezi kuthubutu kuigusa Iran Tena anajua matokeo yake yatakua mabaya sana. Kitu asichopenda Israel ni kupigwa direct.
Na mdio mara ya kwanza hebu fikiria telvive zikishuka missle tatu za maana stress inayokuwa pale na yale magorofa yao .. walidhani pale hapagusiki ndo maana wakaweka command contro centre pale katikati wakidhani wako salama natyo ikagogwa
 


Mwongo mkubwa wewe!! Israel haikuwahi kuomba kusitisha vita. Kumbuka wakati makubaliano ya kusitisha vita yanafikiwa, ndege za Israel zilikuwa angani zikielekea Iran, zilirudishwa zikiwa angani. Iran ndiyo ilikuwa ikisema kila mara kuwa ipo tayari kusitisha urushaji makombora, Israel ikiacha mashambulizi.

Iran imepoteza watu 1,190 wakiwemo wanajeshi wasiopungua 400. Israel ilipoteza waru 28, akiwemo mwanajeshi mmoja aliyekuwa likizo.

Lazima uwe huna akili kabisa kuamini kuwa hasara ya kuooteza binadamu 1,190 ni ndogo kuliko ya waru 28. labda kama unamaanisha uhai wa Wairan hauna thamani.

Iran
HRANA reported that, as of 28 June 2025, 1,190 had been killed, including 435 military members, 436 civilians and 319 unidentified dead. 4,475 people were injured. At least 20 senior commanders were killed in the strikes.
 
Yaani nianzishe ugomvi nikutandike kisha nikuambia sasa inatosha tusiendelee kupigana na ww unakubali kirahisi tu sasa hapo nani mbabe?
Israel ndo alichapika kwenye hiyo vita na akaomba poo, ingekua hajachapika angeendleza ujinga wake anaoufanya Gaza hadi Iran, ila kakutana na ngumi ya mdomo kutoka Iran akakimbilia kwa Baba yake USA kuomba aombewe suluhu maana uzito wa ngumi aliokutana nao hajawahi kuuona
 
Hii nafasi israel wametumia muda mwingin na gharam kubwa sana kuiandaa na hawatakuja tena kuipata tena ndo wamechezea sh chooni israel akae tu kwa kutulia akimuona iran ampigie salute hiyo ndo imetoka hivyo
Hivi sasa wamebaki kufanya mashambulizi ya kigaidi, na ni kama wameifanya Iran kuwa imara zaidi...
 
Ilifeli mimgine ililemgwa direct kuna missle iligonga pale telavive mpaka interceptor ikachomoka kama vile imepatwa na kifafa na kumbuka israel hana kipya cha kuongeza maana best equipmemt of west ndo vipo pale telavive hamna ambacho usa hajapeleka telvive sio THAAD sio patriote .. kwa hiyo israel alitumia best the usa has in its arsenal
 
Na mdio mara ya kwanza hebu fikiria telvive zikishuka missle tatu za maana stress inayokuwa pale na yale magorofa yao .. walidhani pale hapagusiki ndo maana wakaweka command contro centre pale katikati wakidhani wako salama natyo ikagogwa
Walidhani makombora ya Iran madhaifu kama rockets za Hamas. Kwamba wanazipangua halafu raia wanakaa pembeni kutalii namna iron dome inavyokichafua.😂😂😂
Ila weeeh missile za Iran achana nazo.
Zile za Hizbollah tu walizishindwa wakahama mji wa Galilaya hadi kambi ya jeshi tu waliihama sembuse hypersonic missile!?
 
Ingekua Israel ameiweza Iran basi angeendeleza ubabe kama anavyofanya Lebanon,Syria na Gaza.
Lebanon,Syria na Gaza anaingia na kutoka anavyotaka.
Ila weeeh Iran kisu kiligota mfupa alipashindwa pale.
 
Ile vita malengo ya Israel yalitimia kwa karibu 80% ila ukiwa na ukobazi kichwani ndo utaona hii story ya mleta mada ina mashiko
 
#Enemy_Media

"Israeli" Occupation Army Radio:
The shortage of soldiers (estimated at around 10,000 – 12,000 missing from the "Israeli" army ranks) and the lack of enlistment of the ultra-Orthodox are driving the army to try to exhaust every possible option to refill its ranks.

#Military_Media
 
Hizo taarifa walikufa 28 hapo ndio naelewa mzayuni alivyovikamata vyombo vya habari ulaya, mlivyokua mnajazana Kwenye mashelter mkizani ni rocket za Hamas zile
 

Your browser is not able to display this video.
 
Ingekua Israel ameiweza Iran basi angeendeleza ubabe kama anavyofanya Lebanon,Syria na Gaza.
Lebanon,Syria na Gaza anaingia na kutoka anavyotaka.
Ila weeeh Iran kisu kiligota mfupa alipashindwa pale.
You know they got hit hard when they were going for regime change on day 1 and asking for a ceasefire on day 12 ...

Fighting actual military Is not the same as fighting a local resistance(hamas)
 
Sina upande wowote lakini aliyenianza kunipiga nikianza kumjibu kwa kipigo siwezi acha kuendelea kumponda,
Sasa hili swala la Iran kuacha kuendelea kumpa kipondo Israel kirahisi rahisi wakati amepotezq viongozi wengi wa kijeshi chini kwao, bado haisomi!
 
Wewe ndiyo unapaswa kupigwa akili maana huoni vichekesho vilivyofanywa na Iran katika vita vya siku 12 huko Iran.

Kwanza kabisa Jeshi la Iran lina majigambo sana kama MANDONGA vile cha kuchekesha kwa siku 12 za vita Jeshi hilo liligaragazwa vibaya sana makamanda wake wengi waliuwawa kijinga kabisa, mifumo yake ya ulinzi ilishindwa kutamba mbele ya ndege-vita za Israel kwa siku zote 12.

Badala yake sasa machawa nyie ndipo mnakuja hapa kwa kujifariji na kujipa moyo kwa sababu tu Majeshi ya Iran yalishindwa kuonyesha uwezo wao mbele ya majeshi ya Israel.

Kitendo cha kushindwa kuua mwanajeshi hata mmoja kwenye vita vya siku 12 hiyo tu inaonyesha Jeshi la Iran kuwa Halina uwezo kupambana kiume na majeshi ya Israel(IDF)

Majeshi ya Iran ni maarufu sana kwa maigizo na kushambulia maeneo ya kiraia na kusema uongo na kupotosha habari kitu ambacho wao wana kita TAQIYYA yaani kusema uongo kwa ajili ya mnyazimungu lakini ukiwauliza wadhibitishe uongo wao huo wanaishia mitini!!!
 
You know they got hit hard when they were going for regime change on day 1 and asking for a ceasefire on day 12 ...

Fighting actual military Is not the same as fighting a local resistance(hamas)
Oneni aibu basi kusema uongo pamoja na kwamba dini yenu inaruhusu uongo kwa jina la TAQIYYAH, Jeshi kupoteza mafias wake waandamizi 30+ na wanasayansi wa Nuclear 60+ wakati huohuo wa siku 12 za vita Israel haikupoteza askari wake hata mmoja, haikupoteza hata ndege-vita hata moja harafu wewe unakuja hapa na Kubwabwaja “they got hit hard” unaonekana wazi wewe ni Zwazwa wa mwisho!!! Angalia mizoga ya makamanda hapo chini ndipo ujue wayahudi si wenzako!!!
 

Attachments

  • IMG_3401.jpeg
    59.9 KB · Views: 28
  • IMG_3402.jpeg
    112.9 KB · Views: 25
  • IMG_3403.jpeg
    130 KB · Views: 25
  • IMG_3404.jpeg
    72.7 KB · Views: 26
  • IMG_3405.jpeg
    65.3 KB · Views: 32
  • IMG_3406.jpeg
    68.7 KB · Views: 21
  • IMG_3419.jpeg
    47.3 KB · Views: 24
  • IMG_3414.jpeg
    197.7 KB · Views: 29
  • IMG_3466.jpeg
    339.2 KB · Views: 27
  • IMG_3479.jpeg
    351.6 KB · Views: 28
  • IMG_3483.jpeg
    59.3 KB · Views: 22
  • IMG_3499.jpeg
    132.9 KB · Views: 28
  • IMG_3615.jpeg
    262.8 KB · Views: 27
Hata Ukraine waliua ma general kibao wa Urusi, wa Ukraine na wayahudi tabia Yao Moja mauaji ya kuvizia, Gaza mmeua viongozi wote Kwa kuvizia lakini mnachokutana nacho ni siri yenu. Iran mmeua makamanda lakini haikuepusha kichapo Cha maana ukome lait trump angali Kaa kimya mziki ndio ulikua umefikia chorus. Kuuawa Kwa kamanda Alie kazini hakuzuii kupewa kichapo popote pale
 
Sikia fact Hilo ni gazeti nchini Israel, achana na echolima
*************************

♦️Israel Hayom: Iran's missile attacks revealed our infrastructure weaknesses

🔹The Israel Hayom newspaper reported that Iranian missiles caused significant damage to the country's energy facilities and pipelines.

🔹The newspaper added that Israeli military officials had tried to prevent the release of the exact attack location to avoid helping Iranian forces in targeting, but after Al Jazeera broadcasted footage of the missile impact, it became clear that the information was leaked and could no longer be concealed.
 

Attachments

  • IMG_20250818_150418_744.jpg
    51.6 KB · Views: 29
Hizi hapa operations za Leo Leo Al Qassam
************
+

🟩 | Recent Operations in Gaza: (-18 August):

🔹Martyr Omar Al-Qasem Forces:

• Seized highly explosive materials intended by the enemy army to demolish homes in Jabalia al-Balad, northern Gaza.

🔹Al-Quds Brigades:

• Targeted an enemy command and control headquarters in the Bara’asi area south of Al-Zeitoun neighborhood, Gaza City, with 60mm mortar shells.

• Destroyed a Zionist military vehicle by detonating a reverse-engineered high-explosive improvised device during an incursion into the Hassan al-Banna area in Al-Zeitoun.

• Bombarded the settlements of “Be’eri” and “Shuokeda” in the Gaza envelope with rockets in retaliation for enemy crimes.

• Shelled concentrations of enemy soldiers and vehicles on Street 5 north of Khan Younis using 60mm mortar rounds.

🔹Al-Qassam Brigades:

• Targeted an enemy command and control post on the Salah al-Din axis south of Rafah city, southern Gaza, with mortar shells.

• Fired a “Yassin 105” projectile at a Zionist “Merkava” tank near the Dawlat intersection south of Al-Zeitoun neighborhood, southern Gaza.

• Coordinated with Al-Quds Brigades to shell enemy positions near the court complex south of Khan Younis.

🔹@enemywatch

+
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…