Sir John Deere
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 14,246
- 27,509
- Thread starter
-
- #141
1.iran haijaathiriwa kwa lolote katika program yake ya Nuklia na inaendelea na mipango yake na Israel na Marekani imeshindwa kuzuia Iran isiendeleeVita inakua na malengo...unatakiwa ujue malengo ya kila mmoja yalikua yapi na hadi vita inaisha yalikua yamefanikiwa kwa asilimia ngapi...Tukiacha ushabiki ambao hauna maana. Israeli isingekuwepo baada ya miaka miwili kama isingefanya vita. Iran ilikua inakaribia kurutumisha nuklia kwa asilimia 90 ambayo ingetengeneza bomu la Nuklia kwa ajili ya Israeli na Marekani...
Israeli amefanikiwa hivi.
-Kurudisha uwezo wa kutengeneza bomu kwa miaka kadhaa nyuma.
-Kuitia hofu ya usalama Iran kwa kuonyesha wanaweza kuoperate ndani ya ardhi ya Iran na kuondoa viongoz wakubwa wa jeshi na nchi.
-Kuchelewesha uwezo wa Iran kuweza kutengeneza makombora ya masafa marefu kwa wingi.
-Kudhoofisha serikali ili upinzani upate nguvu ya kufanya mapinduzi katika nchi(kitu ambacho kinaendelea kwa kasi sana Iran).
Iran ilifanikiwa.
-Kuuzidi mfumo wa ilinzi wa Israeli kwa kuushambulia kwa makombora mengi kwa wakti mmoja.
-Kuzuia Israeli isiendelee na shughuli zake za kiuchumi.
Vita ilionyesha udhaifu mkubwa wa kiintelijensia wa Iran ukilinganisha na Israeli ila pia ulionyesha Nguvu kubwa ya teknolojia ya Israeli ya kulenga eneo lolote kwa usahihi ukilinganisha na makombora ya Irani yanayodondoka hadi kwenye mashamba
muIran ashasema ana silaha Bora hahitaji nyuklia Sema anajihami tuu na ndio maana anakubali mazumgumzo Sasa wao wakachukulia udhaifu Kwamba kajaa wamepima maji sasa wameona kina leo Leo kaonya Tena anasema upuuzi ujao US na shoga ake wakijaribu ceasefire ataamua yeye iwe liniOyaa yale makombora aisee hapana Iran haina haja ya kuunda nuclear weapons maana zile kombora ni nuke weapons tosha.
Kombora linapigwa hapa mtaa wa tatu watu wanapiga mayowe.
Nitajie viongozi WA juu waliokufa Israel kutokana na hiyo vitaKwani wewe hujui sababu za vita kusimamishwa? Kagugo🤣
Vinu vya nyuklia vya Irani vikagongwa. Kataifa kadogo kama Israel kakaonyesha ule umwamba wa Iran kuwa hawezi kishambuliwa haupo. Kibaya zaidi Ayatollah akaingia mitini na kujificha kwenye handaki.Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Hujui kitu kiongozi..Hapo kwenye mtetemo mpaka Jordan wamelisikia umetupiga changa la macho kobazi mkuu 😂😂 kawaongopee wengine sio humu
Israel haikushambulia vinu vya nuclear vya Iran. Aliyejaribu kuishambulia Tena bila mafanikio ni marekani na Iran alirudisha majibu nadhani unajua kwahiyo acha uongoVinu vya nyuklia vya Irani vikagongwa. Kataifa kadogo kama Israel kakaonyesha ule umwamba wa Iran kuwa hawezi kishambuliwa haupo. Kibaya zaidi Ayatollah akaingia mitini na kujificha kwenye handaki.
Ile vita ya siku 12 imeonyesha madhaifu makubwa kwa ulinzi wa anga wa Tehran. Mji umechapwa wamebaki kobazi wa Tandale na mbwembwe🤣🤣🤣
Israel hatoi taarifa za watu wake wanaokufa kutokana na aibu. Kwenye ile vita eti hakuna mtu hata mmoja aliyekufa we unaamini hilo🤣Nitajie viongozi WA juu waliokufa Israel kutokana na hiyo vita
Israel haikushambulia vinu vya nuclear vya Iran. Aliyejaribu kuishambulia Tena bila mafanikio ni marekani na Iran alirudisha majibu nadhani unajua kwahiyo
Kwamba marekani hakufanikiwa kushambulia vinu vya nyuklia???!!!🤣🤣🤣Israel haikushambulia vinu vya nuclear vya Iran. Aliyejaribu kuishambulia Tena bila mafanikio ni marekani na Iran alirudisha majibu nadhani unajua kwahiyo acha uongo
Acha unaa,... Unakumbuka Israel ilitumia hadi mbinu za kigaidi kwa kulipua sehemu za maji jijini Tehran pamoja na kushambulia vituo vya habari? Unakumbuka walikamatwa hadi mamluki wa Israel wakiwa na mabomu kwenye gari ili wakatege sehemu za raia?In short Iran alikuwa anapiga bila mipango wakati mwenzie alikuwa anapiga ki mkakati
Amini nakwambia wewe ni kobazi kama Yahaya.Hii vita ilinichekesha sana kwa upande wa israel namna alivyoanzisha na namna mambo yalivomgeukia na kuomba vita isitishwe.🤣
Hivi huyu Israel alikua anafikiria Nini alipotangaza vita na Iran? Alijua atashinda kirahisi rahisi tu. Nadhani ile vita imetoa somo kubwa sana kwa upande wake na brother wake marekani.
Il kobazi akili zenu mnazijua wenyeweHofu kubwa ilitanda Kwa US baada ya kuitwanga ile base ya Qatar, US akaona muajemi Yuko sirias akaitisha ceasefire chap, IDF akakubali muajemi hakujibu akapandisha makombora Kama 30 kuelekea taifa la mchongo, baada ya kuhit targets akasema nimekubali ceasefire, IDF wakarusha ndege eti kulipiza kapiga makazi ya watu. Trump akamwambia Netanyau hizo ndege zikipiga Iran nakuachia mwenyewe mimi simo. Netanyau akarudisha mkia matakoni.
Ningekuwa na mamlaka hii dini ya kijinga (kobazi) ningeifuta dunianiAcha unaa,... Unakumbuka Israel ilitumia hadi mbinu za kigaidi kwa kulipua sehemu za maji jijini Tehran pamoja na kushambulia vituo vya habari? Unakumbuka walikamatwa hadi mamluki wa Israel wakiwa na mabomu kwenye gari ili wakatege sehemu za raia?
Najua unaelewa sema unachimbia kichwa kwenye mchanga
Hili jibu lako kwenye comment yangu linaonesha una utapiamlo wa akiliNingekuwa na mamlaka hii dini ya kijinga (kobazi) ningeifuta duniani
Kwani ni dhambi kuwa kobazi?Amini nakwambia wewe ni kobazi kama Yahaya.
Nilikua namjibu huyo aliyesema Israel ndio imeshambulia kuwa ni marekani na hakukua na mafanikio maana Bado Iran inaendelea na mpango wake wa nuclearKwamba marekani hakufanikiwa kushambulia vinu vya nyuklia???!!!🤣🤣🤣
How more dellusional you can be!! Pastor Tony anahitaji watu kama wewe aisee
Siyo dhambi na ni haki yako kuwa Kobazi.Kwani ni dhambi kuwa kobazi?