Nikiwaona Vijana wanaograduate, Nawahurumia sana

Wacha tuwasubirie mtaani tu
 
ajira nina uhakika ila sipendi sherehe vibaya mno🀣
 
Acha usiuze uone moto
Kuna haja gani ya kupoteza mamilioni kusomesha WAUZA CHIPS?? 😝😝

Nilikuwa naangalia takwimu za HESLB, ni MABILIONI yanateketea vyuoni kulipa ada ya MABODABODA WATARAJIWA 🀣

As an experienced investor, i would call this a Business with no commercial value.

Ni upumbafu, unachota mabilioni unayamwaga hewani PWAAAH halafu unakenua.

Hayo MABILIONI YA MIKOPO bora wangewapa wafungue biashara kuliko kupoteza muda kwenye SIFURI.
 
Tuwaombee Tu kaka...

Kwasabu nao wanajua kuwa ajira ni ngumu Sana...

Kwani Kwa namna moja ama nyingine nao ni wahanga kupitia ndugu zao...jamaa zao...rafiki zao ambao wako benchi muda Tu hawana ajira.

Acha Tu wafurahie Hilo tukio kwasabu kutolisherehekea kunaweza lisibadilishe kitu
 
Kwani Kila Kijana msomi anauza chips?

Acha usimsomeshe
 
Kwani Kila Kijana msomi anauza chips?

Acha usimsomeshe
Huu ni ujinga, kama unakaa karibu na samia kamfikishie hili.

Mwambie watanzania wanalipa MABILIONI MENGI SANA kwa ajili ya kulipia ada ya MABODABODA WATARAJIWA huko vyuoni.

Ubodaboda hauhitaji CHUO KIKUU, unajifunza tu dakika mbili chuma kinawaka. Sio lazima usomee Ubodaboda MIAKA MINNE CHUO KIKUUU kwa mabilioni ya shilingi.

This is economics, value for money. Najua unakenua tu haujui hata uchumi ni nini.

Mwambie samia akuelekeze vizuri.
 
Endelea kumsubiria Samia akitoe ujinga kichwani mwako
 
Una hoja kali sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…