Tatizo lililopo ni mtazamo kwamba graduates wanatakiwa kuajiriwa, tena serikalini. Hii dhana kwa karne ya sasa haipo kwa sababu serikali, hasa huku kwetu, hazina uwezo wa kuajiri wote wanaograduate. Kuna umuhimu wazazi sasa kuangalia na kusaidia watoto wao waende universities kusomea fields ambazo Soko linazihitaji kama electronics, horticulture, floricultures, blogs and social media etc... Sijapata muda wa kufuatilia haya mabadiliko ya mitaala ya elimu kuona kama yameweza ku reflect these issues... Wenzetu wazungu, wachina na wengine wanawatupa watu wao kuja kufanya kazi huku kwetu kupitia grants na mikopo wanayotupa...Hali ni ngumu.
Sijui tufanyeje.
ExactlyTatizo lililopo ni mtazamo kwamba graduates wanatakiwa kuajiriwa, tena serikalini. Hii dhana kwa karne ya sasa haipo kwa sababu serikali, hasa huku kwetu, hazina uwezo wa kuajiri wote wanaograduate. Kuna umuhimu wazazi sasa kuangalia na kusaidia watoto wao waende universities kusomea fields ambazo Soko linazihitaji kama electronics, horticulture, floricultures, blogs and social media etc... Sijapata muda wa kufuatilia haya mabadiliko ya mitaala ya elimu kuona kama yameweza ku reflect these issues... Wenzetu wazungu, wachina na wengine wanawatupa watu wao kuja kufanya kazi huku kwetu kupitia grants na mikopo wanayotupa...
Ni angalizo tuu, kuna wengine wanakopa na kumaliza akiba zao kwenye mahafali wakitegemea ajira soon kumbe mtaani ni kugumu...Acheni hizo Kwaio watu wasifurahie mahafali kisa hakuna uhakika wa ajira.
Halafu msidhani kwamba ndio wametoka darasani jana kila mtu katoka kwake au kwao hapo mtaa wanaujua vizuri tu.
Mnaongea huku uhalisia ni zeroo sory kipenzi hiAsubuhi nlipita hapo NIT kuna mwali nlienda kumwachia kidogo kitu ili afurahie degree yake ya marketing and public relation
Shwari maua vp!Mnaongea huku uhalisia ni zeroo sory kipenzi hi
Wakutoa mkwanjaShwari maua vp!
Uhalisia upi
Think twiceramli hiyo mzee. reality is ajira hakuna period.
babalevo and dotto magari are good marketers than those graduates with degrees in marketing.
Labda ww tu! Sasa graduate nikimwachia 20k si inatosha mshkaji wangu! Tatizo nyie wabobevu wa mtaani mnataka pesa ndefuWakutoa mkwanja
Kodi 900k🙄🙄 aisee kaliLabda ww tu! Sasa graduate nikimwachia 20k si inatosha mshkaji wangu! Tatizo nyie wabobevu wa mtaani mnataka pesa ndefu
Kodi 900k
Saloon kusuka mambo ya pedicure/manicure 150k
Subscription Azam... Netflix na mengn 50k
Bando 50k
Na mengn mengi afu mtoa pesa mshahara ni 776k
150k kwa miezi 6Kodi 900k🙄🙄 aisee kali
Alah hiyo ni ndogo sana nilidhani per month150k kwa miezi 6
Kama usomaji wao haukuathiri Wala haina shida Wacha vijana wabebe degree zaoBinafsi sipendi mtu hana one alafu anasoma chuo kikuu... Watu walitakiwa wakasome cookery pale zoom college leo hii wapo pale udsm wanasoma sheria...
Punguza majungu ndugu. Acha watu wafurahie mafanikio yao. Haya maisha ni ya kupita tu. Hapo kuna wengine wamesomeshwa na mama zao wauza vitumbua na leo wana-graduate, je wasisherehekee?Wakuu leo katika pita pita zangu nimepita njia ambazo zina vyuo,
Mabibo(NIT) na Uhasibu (TIA).
Na leo kwenye vyuo hivi kuna Mahafali.
Watu ni wengi sana kwenye hayo maeneo.
Nimejikuta nawaonea sana huruma vijana hawa waliovyaa majoho yao na wamejipamba vizuri sana sura zao hasa wadada.
Nimereflect tu hali ya kitaa ilivyo. Nikawahurumia tena.
Hivi kuna ulazima sana?
Natamani wafanye kimya kimya.
Anyway Mungu awasaidie.
Tuwaombee Vijana.
Ndogo kwako ww ila kwa sisi wasaka tonge ni kubwa ....ndo maana nkimpa graduate 50k anafurahi lkn nkikupa ww 500k unaona ndogoAlah hiyo ni ndogo sana nilidhani per month
Watuletee hizo nyapu maofisini tuzitendee hakiWakuu leo katika pita pita zangu nimepita njia ambazo zina vyuo,
Mabibo(NIT) na Uhasibu (TIA).
Na leo kwenye vyuo hivi kuna Mahafali.
Watu ni wengi sana kwenye hayo maeneo.
Nimejikuta nawaonea sana huruma vijana hawa waliovyaa majoho yao na wamejipamba vizuri sana sura zao hasa wadada.
Nimereflect tu hali ya kitaa ilivyo. Nikawahurumia tena.
Hivi kuna ulazima sana?
Natamani wafanye kimya kimya.
Anyway Mungu awasaidie.
Tuwaombee Vijana.
So ukaangukia pua kwenye lami.Kila mtu na bahati zake kwenye swala la ajira...nikikumbuka 2015 niliyomaliza chuo, nilikuwa na uhakika wa ajira 100% kutokana na connection ya mzee wangu alikuwa kwenye hiyo private sector. [emoji23][emoji1787] Nilichotarajia kikawa tofauti kutokana na mwenda zake kuchukua nchi, Private sector nyingi zilikufa...