Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
- Thread starter
- #361
Kasome "multiplier effect" kwenye uchumi.Maonyesho yoyote yanatafuna Sana hela. Ningekuwa kiongozi ( jambo ambalo siwezi) ningefuta maonyesho yote na semina na warsha zote zifanyike online with zero cost. Watu wanasafiri, wanalipwa nights, wanaandaa mabanda ya gharama, wanahamisha VIFAA vya ofisi mwishowe wanayavunja mabanda hayo utafikiri ni zile nyumba za udongo za watoto.
#YNWA