Makonde plateu
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 1,443
- 3,480
Nilimkuta mke wangu ni bikra kabisa yaani hymen iko slide kabisa kwahiyo mimi ndiyo nilikuwa mtu wa mwanzo kumtoa hiyo bikra ila na bado wahuni wimechapa bila hata ya kupindisha kabisa ila masela ni michosho sana.
Labda sijui ni laana ya kuhasi uparoko wala hata sijui kuna moment katika maisha yangu nilipangiwa kuwa paroko ila nilipiga chini nikaoa mwanamke ambaye sio bikra yeye nae ni kipengele sana yaliyonikuta sio poa kabisa aiseee.