Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Sasa anachapwa mtu mwingine anasikia raha, wewe inakuuma nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah we jamaa bhana maanake unaruhusu mke kuchepukaa dah duniani tuko tofautiukitaka ufe mapema fuatilia habari zamke uliyemwoa sisi tuliooa bila kuiga ,tunaraha Sana anavotoka mkewangu hua namkumbusha Hawa watoto wadogo sana uwepowetu duniani nimuhimu sana , namwambia AFYA ni faraja kwenye kipimajoto chako kondom zimo ? ...huishia kucheka ujumbe umefika
Kweli masela tunautani mwingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787], yaani tunapendaga kushindiliaga msumari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila ndio masculinity hio[emoji23][emoji23]Wanachapiwa wake Marais (kamuulize zuma) wenye walinzi everywhere sembuse wewe kisa Bikram ....hulka ya mwanadamu ni ubinafsi...Bikram hutolewa na viboo lazima atafute buldoza imchanechane ndani bila hivo kazibure
Kizazi Cha Leo kimejaa hofu kutokujiamini madingi yazamani(babuzetu) ,yaani ikitokea dharura anamkabidhi rafiki mkewe. Alindwe na akiwa na shida msikilize harafu siku anarudi anapitia kilabuni anakaa kunywa kidogo na kama alivaa koti lasuti anatafutwa kijana apeleke nyumbani kama huelewi Ile ni signal bibi asijisahau kashafika Babu .......kizazi Cha Sasa lamana hakuna ,kiongozi hua halalamiki anatakiwa kuchukua hatua ......unamganda mkeo amekua mama mzazi wako huyo ,na madingi ndo walioa Bikra zenyewe zakweli na walichapiwa walichapiana vilevile na hayupo aliyelalamikaKweli masela tunautani mwingi[emoji1787][emoji1787][emoji1787], yaani tunapendaga kushindiliaga msumari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Ila ndio masculinity hio[emoji23][emoji23]
Aaa wapi!... wanaume wote waliowahi kuwatoa wanawake bikra wanakuwa ni wanaume wenye uwezo mkubwa wa kuwa viongozi na kuongoza watu, wanakuwa na uwezo mkubwa wa kuanzisha jambo na kulifanilikisha kwa ufanisi mkubwa.....
Endelea kubaka vitoto siku ukiingia kwenye 18 za miaka 3o jela ndio utakuja kujisofu hapaToka dunia kuumbwa Mwanaume ndiye aliyepewa uwezo wa kulianzisha jambo na kulikamilisha kwa kufuata maelekezo ya MUNGU.. soma kitabu cha MWANZO(Biblia), Tusiende mbali nirudi kwenye mada kuu..
Sifa ya mwanaume kamili ni kulianzisha jambo iwe ni jambo la kiuchumi, mahusiano, familia, n.k Sasa wewe kama ni mwanaume na hujawahi kumtoa bikra mwanamke yeyote mpaka sasa hapa duniani jua tu hujakamilika... najua umekunja ndita tayari ila ukweli ndio huooo...
Kwenye vitabu vya historia mbalimbali za mambo ya kale vinasimulia mambo haya na moja kati ya makundi pekee yaliyokuwa yanatunukiwa wanawake bikra ni WAFALME unajua kwanini.. ??? (nakuachia home work..)
Kwa uzoefu wangu wa maisha mpaka umri huu nilionao.. wanaume wote waliowahi kuwatoa wanawake bikra wanakuwa ni wanaume wenye uwezo mkubwa wa kuwa viongozi na kuongoza watu, wanakuwa na uwezo mkubwa wa kuanzisha jambo na kulifanilikisha kwa ufanisi mkubwa,
Pia wanaume wa namna hii wanakuwa na ambitious spirit (roho ya kutokata tamaa kirahisi) kwenye ndoto wanazopigania.. Na kwa kuongezea utafiti wangu nimegundua kuwa mwanaume aliyewahi kumtoa mwanamke yeyote bikra au wanawake kadhaa bikra wanakuwa na uwezo wa kusimamia vizuri ndoa zao na majukumu yao hata wanapofikwa na magumu huwa si watu wanaoshindwa na mambo kirahisi.. (They are total winning fighters)...
NARUDIA TENA... Wanaume wote ambao hawajawahi kumtoa mwanamke yeyote bikra wanakuwa si wanaume kamili kwasababu; Hawa ni wanaume wasiojiamini, huwa ni wazuri wa kuparamia mambo ya wengine, Si wazuri wa kuanzisha mambo na yakafanikiwa, si wazuri kwenye uongozi, hawana hekima, ni wanaume wanaokata tamaa mapema hasa wanapofikwa na magumu ya maisha, na si wanaume wenye uwezo mkubwa kusimamia ndoa na familia zao vyema.
Leo kuna wanaume kibao wanalalamika ndoa zimewashinda ukirudi kwenye matembezi yao ya ujana unagundua hajawahi hata kumtoa bikra mwanamke mmoja maishani mwake.. Ukiona mwanaume analalamika kuwa wanawake ni wasumbufu sijui hawaeleweki wanataka nini... ujue huyo mwanaume haijui ile vibe ya usumbufu wa mwanamke bikra toka unamtongoza mpaka unapokutana naye sita kwa sita.. mpaka kuja kufanikiwa kuitoa bikra yake inakuwa kama umeshinda vita takatifu.. ndio maana inakuwaga ngumu sana kwa mwanamke yoyote kumsahau mwanaume wake wa kwanza aliyemtoa bikra hata kama atakuigizia kuwa ameshamsahau .. jua tu ni UONGO.. bado katika akili yake atamheshimu huyo KIJEBA moyoni mwake mpaka atakapoingia kaburini..
NOTE: Binafsi nishatoa bikra tano safi kutoka mataifa tofauti niliyowahi kuyatembelea hapa duniani... muwe na wikiendi njema ...ngoja niamke sasa nifanye push up.. povu ruksa ila matusi baki nayo..
Nazichukia bikraToka dunia kuumbwa Mwanaume ndiye aliyepewa uwezo wa kulianzisha jambo na kulikamilisha kwa kufuata maelekezo ya MUNGU.. soma kitabu cha MWANZO(Biblia), Tusiende mbali nirudi kwenye mada kuu..

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hili nalo nenoBikra za wapi?
Labda ingekua nchi nyingine sio tanzania hapa ambapo mtoto anawekwa mimba na wazazi wanamalizana mtaani hakuna anaechomoka kwenda mahakamani swala la 30 yrs ni vitisho utafungwa kama huna hata hela ya huduma kwa mtotoEndelea kubaka vitoto siku ukiingia kwenye 18 za miaka 3o jela ndio utakuja kujisofu hapa