Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mwanamke hata kama ulilala na wanaume wengi na baadae ukaacha hiyo tabia na kuamua kuolewa, unaweza kuwa kwenye ndoa yenye furaha sana tu.
Kuna watu hueneza uzushi kuwa ikiwa mwanamke ataolewa akiwa sio bikira, hataweza kuwa na ndoa yenye furaha. Huo ni uongo kabisa.
Kwa imani ya kikristo, mara tu unapokuja kwa Yesu, dhambi zako za zamani zinafutwa na kusamehewa kabisa - na katika suala la usafi wa kijinsia, Mungu anakuona kama bikira.
Ni hakika, ubikira haufanyi ndoa kufanya kazi. Kinachofanya ndoa ifanye kazi ni kutokuwa na ubinafsi, msamaha, utu wema, uvumilivu na kujitolea.
Ubarikiwe.