Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Ni deciding factor Kwa watu wasiowaza mbali.

Niwanaume wachache Sana wanaweza kumuoa mwanamke Kwa sababu kubwa eti ni fundi kitandani.

Au wewe mkuu ukipewa mwanamke mwenye utulivu wa akili na asiejua lolote katika ngono. Na mwingine ambae ni fundi wa ngono asie na utulivu wa akili utaoa yupi?.
bora mwenye utulivu wa akili
 
Huyo ni mshamba...[emoji23] Hajui kulambana skuizi ndo fashion....[emoji23]
images.jpeg
 
Back
Top Bottom