Aizn
JF-Expert Member
- Dec 14, 2022
- 2,172
- 4,196
Muugwana sanaa wewe jamaa maana Kwa matusi aliyekuwa anakutukana na unakuja kumuomba msamaha wewe kweli mtu mwema aisee duuh
Sitakagi kumdharau mama wa mtu alaf kuna uzi alianzisha kuwa ana matatizo na mama yake na hayo maelezo niliyoyasema ni ya kweli kabsa so anaweza akajihisi vibaya Chief
Wengine ni wadogo Kwa fikra unaweza ukashiriki kwenye kuua bila kujijua mzee hatujuani humu, kwa Mungu unakutana na kesi ya kuua, kumbe mtu ulivyomjibu ovyo kaenda kujiua/ jokes
But mama ni dunia nyingine sanaa Chief naheshimu sanaa hiyo nguvu, ndio maana nimesema kuhusu laana ya mama coz najua yaani sio kitu cha mzaha ndio maana na yeye kakaa kimya aisee
Anisamehee sanaa