Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Muugwana sanaa wewe jamaa maana Kwa matusi aliyekuwa anakutukana na unakuja kumuomba msamaha wewe kweli mtu mwema aisee duuh

Sitakagi kumdharau mama wa mtu alaf kuna uzi alianzisha kuwa ana matatizo na mama yake na hayo maelezo niliyoyasema ni ya kweli kabsa so anaweza akajihisi vibaya Chief

Wengine ni wadogo Kwa fikra unaweza ukashiriki kwenye kuua bila kujijua mzee hatujuani humu, kwa Mungu unakutana na kesi ya kuua, kumbe mtu ulivyomjibu ovyo kaenda kujiua/ jokes

But mama ni dunia nyingine sanaa Chief naheshimu sanaa hiyo nguvu, ndio maana nimesema kuhusu laana ya mama coz najua yaani sio kitu cha mzaha ndio maana na yeye kakaa kimya aisee

Anisamehee sanaa
 
Sorry kwa hili jibu Chief naona limeingia mpaka ubongoni sikufikilia kama litautesa moyo wako

I’m so sorry but, mara nyingine uache kufata mkumbo kama unakuja kwa wema njoo kwa wema usijifanye jini mstaharabu mjinga

Sorry chief
usiwaze mkuu,

mngeorodhesha tu faida za kuoa bikra tujadiliane hapa, ukileta mada tetea kwa hoja usikimbile matusi....

sio kwa ubaya chief
 
usiwaze mkuu,

mngeorodhesha tu faida za kuoa bikra tujadiliane hapa, ukileta mada tetea kwa hoja usikimbile matusi....

sio kwa ubaya chief

Kuna Chief mmoja kanipa somo kubwa sanaa kuwa sio vyema kubishana na watu bila faida sijataka tu kumzingatia

Wewe mpaka unafika umri huo haujui nn! Faida ya kupata mwanamke bikra na mwanamke aliyetumika wazi tosha kiuelewa bado mkuu

Tunaweza poteza mda Chief, kama tumeshindwa elewana vyema kila mtu akapita njia yake

Maana tunaweza fika mbali bure ndio mambo hayoo ya kuambiana una laana ya mama yako sio fresh pengine wewe mwenyewe ushajiona haupatan na mama yako usije ukaunganisha dot tukaonana wanga buree

Ukiona vitu aviendani kila mtu ake kona yake Chief kama haiwezekani tutukanane tu fresh
 
Hii ni Kabla au baada ya ndoa?
Na kama ni baada.....utamwacha?
Na wewe utakuwa bado ni bikra?
 
Khee mbona kama umenitolesha bikra za watu, nani? Aliyekwambia nimewatoa watu bikra

Ntahakikisha hata kama nikimtoa msichana bikra namuoa huyo huyo

Usinipe nuks mkuu

Kwaiyo mpk umri huo hujawai toa bikira
 
Wewe unayejua mapenzi umeenda kupalamia migume gume iliyotoka bikra mzee

Mungu aliyeamrisha tuoe mabikra ninyi ndio mnamshangaa

Nipe andiko linalosema Mungu kasema muoe bikira
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 

Thamani gani na hapo ulipo una mcheat mkeoo[emoji1787]
 
Hiyo ni misemo tu

Kama ulikosea hakikisha uzao ako unakuwa safe
Sawa ni misemo akikisha mn
Tena mate chini wewe kijana usikufuru kupitiliza hakuna anependa kuzaa mwizi au changudoa kikubwa tuwaombee tu watoto wetu.
 
Hakuna ukweli bikra zipo nyingi tu Chief, hao waliowahi kutoa mimba ndio usiguse kabsa kwani wameshaharibu sehemu ambayo mtoto wako mtarajiwa ataenda kupumzika kwa miez 9 ndio azaliwe

Kama haumpendi mtoto wako mtarajiwa nenda kaoe alieyetoa mimba
Unaweza ongea maneno yote haya kumbe na wewe ni mtoto wa alietoa mimba.alafu kutoa mimba inategemea Kuna mimba nyingine Dr anaizinisha zitolewe na hao vipi...?!alafu kwa uandishi wako huu unaoneka ww bado ujakomaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…