Mimi sijawahi kuoa Wanawake wa hivyo.
Kwangu mimi MWANAMKE ana nafasi ya kipekee sana kwangu, na nina heshima kubwa sana kwa MWANAMKE.
Nongelea MWANAMKE, siyo hao viruka njia.
MWANAMKE aliyelelewa, akayapokea malezi na kujitunza.
MWANAMKE siyo kiti cha daladala kwamna mtu ainuka, jalafu mwingune akae na mchezo uendelee vivyo hivyo. Mwanamke ni hazina ambayo mtunza funguo wake huwa ni mmoja tu. Lakini hawa wa siku hizi hawataki kiwa hazina, wanapenda kuwa Magazeti. Wanapenda kuwa Mabango ya Matangazo.