Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Tafuta bikira uoe mkuu sisi tunakomaa na hawa hawa ambao bikira ilishatolewa maana ndio waliopoKama uliuziwa mbuzi kwenye kiroba lazima ukazie, unakula makombo lazima ukazie kibaya zaidi ndio iwe umeoa lazima ukazie
Umejuaje?Bikra zipo nyingi tu Chief
Yatukane tu Mwayego wee!!
Maana hayaelewagi mwaya.
Nakubaliana nawe mkuu. Eti karne hii unatafuta bikira!!! 🤔😅Hii imeeenda [emoji23][emoji23]
Tafuta bikira uoe mkuu sisi tunakomaa na hawa hawa ambao bikira ilishatolewa maana ndio waliopo
Kwanza utaonekana kichwani hauko sawaNakubaliana nawe mkuu. Eti karne hii unatafuta bikira!!! [emoji848][emoji28]
Ewaaaaaa!Enjoy
Niwatunzie ili iwe nini uzuri mbinguni tunaenda na miili mipya hizo bikira wacha wanaume zao wazitafunee
Uzuri mwingine naona kila siku mishankupe ndio inaoolewa sasa sijui unamshauri nani asioe madungaembee
Sisi ndio tupo
Ni ujinga sanaKwanza utaonekana kichwani hauko sawa
Kibaya Kila Mwanaume anatamani aoe mwanamke wa Aina hiyo ila wakati Huo huo Tunaona Jinsi watu wanajisifia Kuzitoa Hizo kwa mabinti wadogo wadogo. Na tena Kibaya zaidi wengi humu wanawasifia na kuwapa hata mbinu.
Hao mabikra wenyewe wapo wapi Sasa?
Mawazo yako tumeyasikia blaza.
Tunakutakia kila la kheri wewe na huyo bikra wako
Oya we mzee siku hizi watoto wanatiana huku wanasoma mtoto akimaliza form 4 na bikra kaiachaa shule. (saada)Wengi hawana bikra na wengi wapo pia wanazo bikra uamuzi ni wako tu unataka mwenye bikra au ambaye ameiuza bikra kwa mwanaume mwenzako
Hapo sawaEnjoy
Kwaiyo wewe bikira[emoji23]
Mimi sijawahi kuoa Wanawake wa hivyo.Unaoaje? Mtu aliye kuwa hana bikra
Bikra ilikutoka ukiwa na miaka 7 nini? Mbona umechukulia seriously sanaa
Mleta mada anawatia changamoto tu hayupo seriously wala nini! Msichukie sanaa
Maana umechukia kama mleta mada ndio kakutoa bikra maana ungemjua ungemfungulia kesi unaona kama anawadhalilisha wanawake
Take it normal
Mimi sijawahi kuoa Wanawake wa hivyo.
Kwangu mimi MWANAMKE ana nafasi ya kipekee sana kwangu, na nina heshima kubwa sana kwa MWANAMKE.
Nongelea MWANAMKE, siyo hao viruka njia.
MWANAMKE aliyelelewa, akayapokea malezi na kujitunza.
MWANAMKE siyo kiti cha daladala kwamna mtu ainuka, jalafu mwingune akae na mchezo uendelee vivyo hivyo. Mwanamke ni hazina ambayo mtunza funguo wake huwa ni mmoja tu. Lakini hawa wa siku hizi hawataki kiwa hazina, wanapenda kuwa Magazeti. Wanapenda kuwa Mabango ya Matangazo.
Sasa unatukana wengi, hata kama wewe umempata, ulichezewa tu mchezo.