Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Walawi 21:14

Mungu wa kwenye biblia hakosei
We una uhakika gani ni maneno ya Mungu na sio ya watu watawala wa wajinga. Nimekuambia mbona hufati sheria zingine za kijinga Kama kuvaa nguo za material tofauti Kama kweli unafuatilia Biblia yako
 
Katoa maelezo na uzi unajieleza kuwa mama yake alikutana na baba yake akiwa bikra so walikuwa hivyo

Na kaambiwa na wazazi wake kuwa mwanamke asiye na bikra ni laana na asijaribu kabsa kuoa wa hivyo

Rejea uzi alaf soma Kwa umakini
Bac afanye hivyo..coz hata wazazi wake wakimwambia ale mavi atakula Hana akili za kujenga hoja huyo
 
Sawa fata hio miti yako usilazimishe kila mtu awe na tamaa zako za kingono nchi huru hii
Tamaa ya ngono ipo wapi hapo? Mimi nasisitiza kuwa wanawake wanaojitunza wapo.
Wewe unakataa, na unadai wote ni hovyo, kama nataka wa aina ninayoitetea unataka niumbe wangu. Sasa hapo tamaa ya ngono imetoka wapi?
Msiwe Majasiri wa kuaminisha jamii kuwa bahati mbaya zenu ni za jamii yote. Kubalini tu kwamba viwanja mnavyocheza ndiyo sivyo.
 
Unaona sasa hivi maadili yalivyomomonyoka ni kutokana wazazi wanawaogopa kuwaambia ukweli watoto wao katika swala la malezi halitakiwi kuwa Na aibu

Unamuelekeza mtoto kweli, unamfundisha kumuuliza na kumwambia kipi kizuri kipi kibaya
Kuwa mzazi sio kitu rahisi

Watu wengi sana wana watoto lakini sio wazazi/walezi
Unamfundisha mtoto wako kujilinda na mimba za utotoni na magonjwa na aendelee kupigania ndoto zake. Ni very rare ukute baba anajielewa na ana elimu ya shule na maisha amfate mtoto wake wa miaka 25 mwenye chuo na yupo kazini aanze kumuuliza Kama yeye bikra.
 
Tamaa ya ngono ipo wapi hapo? Mimi nasisitiza kuwa wanawake wanaojitunza wapo.
Wewe unakataa, na unadai wote ni hovyo, kama nataka wa aina ninayoitetea unataka niumbe wangu. Sasa hapo tamaa ya ngono imetoka wapi?
Msiwe Majasiri wa kuaminisha jamii kuwa bahati mbaya zenu ni za jamii yote. Kubalini tu kwamba viwanja mnavyocheza ndiyo sivyo.
🤣Bikra nimepiga, au used nimepiga, sioni kigeni kwangu. Na Bora nioe demu ambae tayari najua ladha yake sio naoa demu baadae naanza kujuta. Kingine nasema tamaa coz hata aliyetunga hizi sheria alioa mtoto wa miaka 6 na kumbikiri Akiwa na miaka 9. Sasa Kama bikra zipo tu mbona afate watoto au na mtume nae anacheza viwanja sivyo.
 
Ehe ya mdomo? [emoji1787][emoji1787]Yaani watu wanaongea humu ni either hawana mademu au hawajawahi fanya mapenzi, siwezi amini watu wazima mpo hivi, nunueni hata Malaya basi muone...[emoji21]mnatia huruma

Una ujinga mwingi sanaa wew
 
Tamaa ya ngono ipo wapi hapo? Mimi nasisitiza kuwa wanawake wanaojitunza wapo.
Wewe unakataa, na unadai wote ni hovyo, kama nataka wa aina ninayoitetea unataka niumbe wangu. Sasa hapo tamaa ya ngono imetoka wapi?
Msiwe Majasiri wa kuaminisha jamii kuwa bahati mbaya zenu ni za jamii yote. Kubalini tu kwamba viwanja mnavyocheza ndiyo sivyo.

Huyoo kichaa usijisumbue kumjibu utajichosha tu hana point ana bwabwaja tu

Utapoteza muda kumjibu huyoo mwendawazmu

Achana naye
 
🤣Bikra nimepiga, au used nimepiga, sioni kigeni kwangu. Na Bora nioe demu ambae tayari najua ladha yake sio naoa demu baadae naanza kujuta. Kingine nasema tamaa coz hata aliyetunga hizi sheria alioa mtoto wa miaka 6 na kumbikiri Akiwa na miaka 9. Sasa Kama bikra zipo tu mbona afate watoto au na mtume nae anacheza viwanja sivyo.
Hayo ndiyo maneno ya zoazoa...you sound exactly.
 
Sijakosea kichwa cha habari ni hivi kama haujaoa msichana ambaye ni bikra wewe ni mwanaume mjinga sana na ni mzembe

Na ambao bado hamjaoa hakikisheni mnaoa wasichana mabikra, msichana ambaye utamuoa awe ni bikra yaani msichana ambaye sio used, wewe ndio uanze kumtumia

Acha kufikiria ujinga ni wapo tena wengi tu, wazazi ongeeni na mabinti zenu wazitunze bikra zao msione aibu hata kama ninyi hamjabahatika kuolewa na bikra zenu msitake watoto zenu wawe kama ninyi, na wazazi ongeeni na vijana wenu wahakikishe wanaoa wasichana mabikra msiendeleze ujinga mlioufanya ninyi uendelee , ujinga wa watu waliooa wasichana ambao sio mabikra usiendelee

Kuna raha yake kupata gari halijatumika yaani halijatembea hata km 1 wewe ndio wa kwanza kulitumia, kwanza matatizo ya gari yako wewe ndio utaanza kuyajua na haitakuwa tena na usumbufu Kama likianza kusumbua

Msichana ambaye sio bikra asiolewe, mkiendelea kuwaoa wasichana ambao sio mabikra mtawaendekeza waendelee kutotunza bikra zao ,wasichana wadogo anaoona mnaoa wanawake ambao hawana paswoord

Kinga inapotea kwa msichana ambaye hana bikra, believe me na kwa hili watachukia, ila kama bahati yako umeolewa bila ya bikra msaidie kumtunza mwanao aitunze bikra yake, na thamani ya mapenzi hawaijui vizuri , wanaipunguza thamani ya mapenzi wanajua wenyewe % ingine wanaipeleka wapi!!

Kataa kuoa msichana ambaye sio bikra

View attachment 2704801

View attachment 2704135
Raha sana aiseh,
Ni ndoto ya kila mwanaume,
Nimeitimiza hii.
 
Wana hali gani ya maisha. Afu mwanamke hajaumbwa usilete dini katika hili, it's just nature na Ina maana yake. Kingine nimeshaelezea kwamba zamani mwanaume mwenye miaka 16 anaweza akawa na mke mwenye miaka 9. Coz of Hali ya maisha ya kipindi kile ndo maana hizi sheria za bikra sijui kuzini ziliwekwa. Saa hivi wewe mpaka uwe na miaka 30-40 ndo unaweza ukawa freshi kuoa na hapo mwanamke analindwa asiolewe mtoto so akifika 20s anaanza kukutana na wanaume, so it's completely normal. Ndo maana kuforce watu kuoana bikra saa hivi ni kitu personal sio Cha kulazimisha na hakina umuhimu kwani familia kibao zinaenda hivyo
Just a bunch crap! kwani kuna mtu amekulazimisha uoe bikra? we ukiona unachopenda na vile vitu used oa unaetaka ila sisi tunakufahamisha the deal that u r getting urself into.
 
Kuwa bikra ni ishara ya kuwa na maadili chini ya malezi ya baba na mama au walezi wake ila sio guarantee ya kuwa na maadili chini ya mume.
Unakubali uhalisia halafu unaukataa bila msingi, we unadhani mtoto aliyelelewa kimaadili na aliyelelewa kishenzi yupi yupo more likely kuwa na maadili?

Ni kama unasema kutarajia mtoto wa kiume au wakike kwa mwenye ujauzito sio lazima coz pia huzaliwa watoto wenye jinsia zote! ..... reallly??? u r ignoring the more likeliest for a smmallest possibility.

Kama ni hivo basi na wewe pia kesho usiende kazini sababu barabarani watu hugongwa na magari.
 
Just a bunch crap! kwani kuna mtu amekulazimisha uoe bikra? we ukiona unachopenda na vile vitu used oa unaetaka ila sisi tunakufahamisha the deal that u r getting urself into.
Ndo uwongo Sasa, ur data is not scientifically proven, ni wishful thinking tu. Hujafanya research yoyote zaidi ya story za mtaani kwa sababu elimu hamna. Mna Simu mna vitabu ila kazi kupiga mayowe, siku zingine tumieni google chat gbt na vitu vingine, mnaendelea kuongea pumba tu bila data
 
Unakubali uhalisia halafu unaukataa bila msingi, we unadhani mtoto aliyelelewa kimaadili na aliyelelewa kishenzi yupi yupo more likely kuwa na maadili?

Ni kama unasema kutarajia mtoto wa kiume au wakike kwa mwenye ujauzito sio lazima coz pia huzaliwa watoto wenye jinsia zote! ..... reallly??? u r ignoring the more likeliest for a smmallest possibility.

Kama ni hivo basi na wewe pia kesho usiende kazini sababu barabarani watu hugongwa na magari.
We unaongea Nini tena
 
Back
Top Bottom