Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Kama wewe huchapi nje itauma sana, Ila kama unachepuka, hayo ni malipizi ya kawaida. Ila hongera kwa kumpata bikira.
 
Kauli za kujifariji hizi..

Point ya msingi ni kwamba,,
kuoa mwanamke Sio bikira ni Sawa na kunywa soda iliyokwisha tumiwa na mwingine na kuibakishwa..
 
Kwamba mwanamke bikra ndio anakuwa Hana udhaifu?!

Mnadanganyana!

Tunaongea kwa uzoefu!
 
Pia nawe ubarikiwe Sana mkuu.Ahsante kwa elimu nzuri
 
Hayanaga muongozo...
Duh, kama hadi Smart amesema katika hili tusisubiri muongozo, basi hili jambo litakuwa limeshindikana.

Basi kila mwanaume atoe mwongozo wa mahusiano yawe yanaendeje, na autumie huo muongozo yeye mwenyewe na mpenzi wake asitusumbue sie. Maana hata sie tuma miongozo yetu alaa🤼‍♂️
 
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...
 
Maumivu ya mwanadamu yako kwenye fikra zaidi kuliko uhalisia wa majeraha. Ukipanda gari liliwowahi kuuwa watu kwa matatizo ya breki ila likatengenezwa hautokuwa na amani kama aliyepanda gari lenye matatizo ya breki na halijatengenezwa ila tu halijapata ajari. Nadhani umenielewa. Kosa lilelile likifanywa na mke wako uliyemuoa hayuko bikra utalihukumu mara kumi zaidi ya kama lingefanywa na mke wako uliyemuoa akiwa bikra
 
Mbn kawaida mkuu, Ila nikupongeze kwa kuoa mwanamke aliyekua ktk ubora wake nikimaanisha VIRGIN=BIKIRA...kuhusu kuchapiwa ht wew ukiamua unaweza kuchapia na wenzio wake zao
 
Bikra nimetoa Ila I don't see anything special km unavyoielezea, kwanza unajitamba kuvunja bikra kwa majivuno mkuu, swallow your pride bhn
 
1. Jaribu kujiuliza, Je nani alimtoa mke wako bikra?

2. Kama ni wewe ,je umegundua tofauti gani katika nyumba yako?na kama sio wewe je umeona tofauti gani?

3. Ni ukweli usiopingika kuwa kwa wale ambao wake zao walitolewa bikra na wanaume wengine mahusiano yao ni tofauti sana wale ambao walitoa bikra za wake zao.Kwa nini?

4. Kwa kawaida mwanamke ukimpenda ukamtoa bikra na kumuoa basi kama mapenzi yenu yako katika msingi sahihi basi mtaishi maisha yenye furaha na amani sana na mtaweza pitia magumu mengi sana pamoja katika mapenzi yenu.

5. Kwa wanawake ambao unawao lakini sio wewe uliwatoa bikra ni muhimu ukafahamu kwa hakika namna ambavyo walipoteza usichana wako ili uelewa hasa maumivu waliyowahi kupitia.Kwa mara nyingi mwanamke hutolewa bikra ama na mtu ambaye anamuamini au kwa sababu ya kiherehere.

6. Kama una mke na siyo wewe uliyem-bikiri elewa kwamba maisha yenu yote mkeo anamkumbuka aliyemtoa bikra, hawezi kusahau kamwe..

7. Mwanaume elewa kwamba, mkeo akikutana na aliyemtoa bikra, mwili unalegea kama mbwa kwa chatu, na huyo mwanaume haombi, anapewe bure kusafisha njia na kuondoa kutu na feeling yake inakuwa kubwa kuliko yako.

8. Kwa kawaida unapoamua kumfanya mwanamke kuwa wako wa maisha hilo ni jambo la muhimu kujua hasa iwapo mwanamke sio bikra,na ana umri mdogo na hana mtoto.Iwapo umri umeenda na ana mtoto walau mmoja sio lazima kujua.

Nasisitiza sana hasa kwa wale ambao mko mbioni kuoa iwapo mpenzi wako sio bikra ni muhimu ufahamu nani aliitoa na waliachanaje

Copied.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…