kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Kama wewe huchapi nje itauma sana, Ila kama unachepuka, hayo ni malipizi ya kawaida. Ila hongera kwa kumpata bikira.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kauli za kujifariji hizi..Nilimkuta mke wangu ni bikra kabisa yaani hymen iko slide kabisa kwahiyo mimi ndiyo nilikuwa mtu wa mwanzo kumtoa hiyo bikra ila na bado wahuni wimechapa bila hata ya kupindisha kabisa ila masela ni michosho sana.
Labda sijui ni laana ya kuhasi uparoko wala hata sijui kuna moment katika maisha yangu nilipangiwa kuwa paroko ila nilipiga chini nikaoa mwanamke ambaye sio bikra yeye nae ni kipengele sana yaliyonikuta sio poa kabisa aiseee.
Huu ndio ukweli hawa wanawake wanapenda kushare jamani kha!! Bahati yao tuu mbususu zao tamu.[emoji419][emoji419][emoji419][emoji419][emoji419]
View attachment 2517184
Duh, kama hadi Smart amesema katika hili tusisubiri muongozo, basi hili jambo litakuwa limeshindikana.Hayanaga muongozo...
Tatizo binadamu wa siku hizi ni wabishi sana...Duh, kama hadi Smart amesema katika hili tusisubiri muongozo, basi hili jambo litakuwa limeshindikana.
Basi kila mwanaume atoe mwongozo wa mahusiano yawe yanaendeje, na autumie huo muongozo yeye mwenyewe na mpenzi wake asitusumbue sie. Maana hata sie tuma miongozo yetu alaa🤼♂️
Nimependa comment yakoNdoa ni muhimu
Kubali ndoa
Kuoa bikra sio sababu ya kutokuchapiwa, hata malaya nae alizaliwa na bikra
ahsante, hujampenda na mwenye comment?😛Nimependa comment yako
Mbn kawaida mkuu, Ila nikupongeze kwa kuoa mwanamke aliyekua ktk ubora wake nikimaanisha VIRGIN=BIKIRA...kuhusu kuchapiwa ht wew ukiamua unaweza kuchapia na wenzio wake zaoNilimkuta mke wangu ni bikra kabisa yaani hymen iko slide kabisa kwahiyo mimi ndiyo nilikuwa mtu wa mwanzo kumtoa hiyo bikra ila na bado wahuni wimechapa bila hata ya kupindisha kabisa ila masela ni michosho sana.
Labda sijui ni laana ya kuhasi uparoko wala hata sijui kuna moment katika maisha yangu nilipangiwa kuwa paroko ila nilipiga chini nikaoa mwanamke ambaye sio bikra yeye nae ni kipengele sana yaliyonikuta sio poa kabisa aiseee.
Bikra nimetoa Ila I don't see anything special km unavyoielezea, kwanza unajitamba kuvunja bikra kwa majivuno mkuu, swallow your pride bhnToka dunia kuumbwa Mwanaume ndiye aliyepewa uwezo wa kulianzisha jambo na kulikamilisha kwa kufuata maelekezo ya MUNGU.. soma kitabu cha MWANZO(Biblia), Tusiende mbali nirudi kwenye mada kuu..
Sifa ya mwanaume kamili ni kulianzisha jambo iwe ni jambo la kiuchumi, mahusiano, familia, n.k Sasa wewe kama ni mwanaume na hujawahi kumtoa bikra mwanamke yeyote mpaka sasa hapa duniani jua tu hujakamilika... najua umekunja ndita tayari ila ukweli ndio huooo...
Kwenye vitabu vya historia mbalimbali za mambo ya kale vinasimulia mambo haya na moja kati ya makundi pekee yaliyokuwa yanatunukiwa wanawake bikra ni WAFALME unajua kwanini.. ??? (nakuachia home work..)
Kwa uzoefu wangu wa maisha mpaka umri huu nilionao.. wanaume wote waliowahi kuwatoa wanawake bikra wanakuwa ni wanaume wenye uwezo mkubwa wa kuwa viongozi na kuongoza watu, wanakuwa na uwezo mkubwa wa kuanzisha jambo na kulifanilikisha kwa ufanisi mkubwa,
Pia wanaume wa namna hii wanakuwa na ambitious spirit (roho ya kutokata tamaa kirahisi) kwenye ndoto wanazopigania.. Na kwa kuongezea utafiti wangu nimegundua kuwa mwanaume aliyewahi kumtoa mwanamke yeyote bikra au wanawake kadhaa bikra wanakuwa na uwezo wa kusimamia vizuri ndoa zao na majukumu yao hata wanapofikwa na magumu huwa si watu wanaoshindwa na mambo kirahisi.. (They are total winning fighters)...
NARUDIA TENA... Wanaume wote ambao hawajawahi kumtoa mwanamke yeyote bikra wanakuwa si wanaume kamili kwasababu; Hawa ni wanaume wasiojiamini, huwa ni wazuri wa kuparamia mambo ya wengine, Si wazuri wa kuanzisha mambo na yakafanikiwa, si wazuri kwenye uongozi, hawana hekima, ni wanaume wanaokata tamaa mapema hasa wanapofikwa na magumu ya maisha, na si wanaume wenye uwezo mkubwa kusimamia ndoa na familia zao vyema.
Leo kuna wanaume kibao wanalalamika ndoa zimewashinda ukirudi kwenye matembezi yao ya ujana unagundua hajawahi hata kumtoa bikra mwanamke mmoja maishani mwake.. Ukiona mwanaume analalamika kuwa wanawake ni wasumbufu sijui hawaeleweki wanataka nini... ujue huyo mwanaume haijui ile vibe ya usumbufu wa mwanamke bikra toka unamtongoza mpaka unapokutana naye sita kwa sita.. mpaka kuja kufanikiwa kuitoa bikra yake inakuwa kama umeshinda vita takatifu.. ndio maana inakuwaga ngumu sana kwa mwanamke yoyote kumsahau mwanaume wake wa kwanza aliyemtoa bikra hata kama atakuigizia kuwa ameshamsahau .. jua tu ni UONGO.. bado katika akili yake atamheshimu huyo KIJEBA moyoni mwake mpaka atakapoingia kaburini..
NOTE: Binafsi nishatoa bikra tano safi kutoka mataifa tofauti niliyowahi kuyatembelea hapa duniani... muwe na wikiendi njema ...ngoja niamke sasa nifanye push up.. povu ruksa ila matusi baki nayo..