Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

umeiweka vizuri kabisa mkuu
 
Hii ni bendera ya Nchi gani?
 

Attachments

  • 9336A3B8-438F-4F59-86B9-08205694F453.jpeg
    109.7 KB · Views: 1
Hizi nyuzi za mapenzi humu jamiiforum zinakera , moderators wanazipenda sana nadhani inatapoteza mvuto maana ,,(this is not our taboo). This will be no longer a Jamiiiforuma rather a foolish age jamiiforum
 
Nimekwambia hivi hao ni malaya. Kama huna tabia hizo hata kama huyo mtu mnaishi naye mji mmoja na una mume huwezi kuwa na mahusiano hayo tena!!!!
 
Dah Kuna muda mtu unaweza kuhangaika na vitu visivyokuwa na msingi, lazima utambue wanawake wengi hupoteza bikra zao pasipo matarajio yao, pasipo mapenzi yao, labda kwa wale waliotolewa bikra wakiwa kwenye mapenzi mazito ambao nao ni wachache.
 
Nimekaa zangu naangalia barabara pembeni kuna ki msitu kizuri jua linazama
 
Hongera Kwa utafiti
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Sasa inakusaidia nini ukijua aliye mbikiri mkeo?
Mbona unawaza vitu vidogo!
Dunia inakwenda mwezini, sayari za, mbali, robots zinaongezewa akili, wewe unawaza kiungo katikati ya miguu ya mwanamke?
Hujiulizi kwanini hatuna magari made in TZ, kama Toyota, Benz, kwanini hatutengenezi simu, radio, tv, friji, kwanini vijana wetu watoke vyuoni wakose ajira,
Kwanini richa ya kuwa na ardhi kubwa hatuwezi kujitoshereza kwa sukari, ngano,mafuta ya kula,
Tunategemea nchi ya ukraine iliyopo vitani!
 
Mnapata wapi muda wa kuongelea ma X zenu, ukiwa na mtu mwambie kuanzia sasa wewe kwangu ni bikra na mimi pia tunaanza upya.
 
Acha utoto kwanza bikra kwa mwanamke zipo nyingi.

Unaweza ukawa wa kwanza kumtoboa
Mimi nikawa wakwanza kumkojoza vizuri(msahau)

Unaweza ukawa wa kwanza kumtia na kumkojoza
Mi nikawa wakwaza kumtia,kumkojoza, na kumzalisha (msahau)

Unaweza ukawa wa kwanza kumtia,kumkojoza,na kumzalisha mi nikaja kufanya hayo yote na nikampa maisha pia, yani hakuwai panda ndege kwenda vacation and etc mi nikimfanyia na hayo kwako harudi zaidi ataona kinyaa.

Inshot formla ndo iyo ukishajua ni wapi mwamke ametoka basi we mpe alivokua anapata nyuma then ongezea na vyako vipya hawa viumbe hua hawarudi nyuma kama alikoelekea pako full package and updated.
 
Habari zenu Wana jf
Ebwana baada ya kutubu Sana na kuachana na Kula tunda kimasiala na mambo ya code(mikeka)

Nimekuwa mtu WA kusoma hadith mbali mbali za mtume Muhammad S.W.A. pia huwa nasoma Qur'an pamoja na biblia Kila siku kupata ujuzi ili kuwajibu kwa hamu Hawa wanasema hakuna Mungu.( kuna siku nitawapa nondo za kutosha hawato amini)

Tuingie moja kwa moja kwenye kichwa cha uzi

Nimesoma hadithi ambay inasema"mwanamke akiwa bikra basi honeymoon yake(fungate yake na mumewe) ni siku Saba na asiye na bikra ni siku tatu Tu msiwe wenye kuvuka mipaka"

Nimeshuhudiwa waislam wengi sana (wanaume) wanaingia honeymoon kwa siku 7 wakati mke wake nimemtoa mwenyew bikra...nimesikitika Sana

Ushauri

Kama hujapata kuoa mwanamke akiwa bikra Acha kupoteza muda siku tatu zinatosha...

NB: anayehitaji kuunganishwa na wanawake bikra aje PM nimsaidie insha'Allah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…