1. Jaribu kujiuliza, Je nani alimtoa mke wako bikra?
2. Kama ni wewe ,je umegundua tofauti gani katika nyumba yako?na kama sio wewe je umeona tofauti gani?
3. Ni ukweli usiopingika kuwa kwa wale ambao wake zao walitolewa bikra na wanaume wengine mahusiano yao ni tofauti sana wale ambao walitoa bikra za wake zao.Kwa nini?
4. Kwa kawaida mwanamke ukimpenda ukamtoa bikra na kumuoa basi kama mapenzi yenu yako katika msingi sahihi basi mtaishi maisha yenye furaha na amani sana na mtaweza pitia magumu mengi sana pamoja katika mapenzi yenu.
5. Kwa wanawake ambao unawao lakini sio wewe uliwatoa bikra ni muhimu ukafahamu kwa hakika namna ambavyo walipoteza usichana wako ili uelewa hasa maumivu waliyowahi kupitia.Kwa mara nyingi mwanamke hutolewa bikra ama na mtu ambaye anamuamini au kwa sababu ya kiherehere.
6. Kama una mke na siyo wewe uliyem-bikiri elewa kwamba maisha yenu yote mkeo anamkumbuka aliyemtoa bikra, hawezi kusahau kamwe..
7. Mwanaume elewa kwamba, mkeo akikutana na aliyemtoa bikra, mwili unalegea kama mbwa kwa chatu, na huyo mwanaume haombi, anapew bure kusafisha njia na kuondoa kutu na feeling yake inakuwa kubwa kuliko yako.
8. Kwa kawaida unapoamua kumfanya mwanamke kuwa wako wa maisha hilo ni jambo la muhimu kujua hasa iwapo mwanamke sio bikra,na ana umri mdogo na hana mtoto.Iwapo umri umeenda na ana mtoto walau mmoja sio lazima kujua.
Nasisitiza sana hasa kwa wale ambao mko mbioni kuoa iwapo mpenzi wako sio bikra ni muhimu ufahamu nani aliitoa na waliachanaje
Copied.