Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Faida ya kutoa bikra ni nini?! Maana kuna watu huku mtaani tumezitoa na hatukunufaika na chochote.
 
Bikira Rue Baby ambaye ni binti wa mwimbaji Akothee mwenye umri wa miaka 21 pichani akifurahia maisha huko Orlando, Florida.

Mwanamitindo huyo ambaye BIKIRA yake inagharimu Ksh 990 milioni kuivunja inasemekana ndiye mwanamke aliye na BIKIRA ghali zaidi duniani, akivunja rekodi ya Ausah Sausin wa Korea Kusini ambaye UBIKRA wake ulivunjwa kwa Ksh 670 Milioni.

View attachment 2672538
Hii imeenda hii imeenda yaani wazungu wana pigo za kipuuzi sana....🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom