Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Wanajukwaa habari za muda huu.Huwa ni kawaida yangu kuwashirikisha yanayoendelea kwa jamii inayonizunguka.Leo Tena ninalo jambo ambalo limekuwa likizungumziwa na limemwathiri rafiki yangu.Rafiki yangu huyu ameoa siku za karibuni na kutokana na misimamo yake(sina uhakika na chanzo/misingi ya msimamo wake) hakutaka kumjua mkewe till marriage.Huku na kulehuku na kule jamaa ka marry juzi tu bana,lakini kinyume na matarajio yake na promise aliyopewa na huyo mke wake(aliyemwaminisha kwamba hamjui ,mwanaume yyte)alikuta hyo mali yake ishatikiswa na Ile kiashiria cha usalama wa bidhaa hakipo .Jamaa ilitokea kumwathiri sana ukizingatia Kuna dhana zinasikika mtaani mara eti awali ni awali,mara wakikutana lolote laweza kutokea(kupasha kiporo)Jamaa kaathiriwa sana na hili.Katika kumbana bana wf anasema kamtajia aliyesanua hyo utepe ake ila akamwambia ilitokea tu accidentally ila anajutia coz kama imevuruga cv na historia yake hivyo amsamehe.Jamaa kinachomuuma zaidi mdau niwakitaani tu hapo any tym wawezakisanua kama yasemwayo hapo juu ni kweli.MIMI HATA SIKUTIA NENO KWANI MM KWENYE HILO CHAMA SIJAJIUNGA KUNA MAMBO NASKILIZIA KWANZA.Mmmmmmh Dunia Ina mambo hii😂🥱
ukituambia mitaa gani tunaweza sema kitu maana mitaa inaongea!!!!
 
Nawewe unaenipanga kwa njia kama hii ya jamaa najua umesoma huu uzi so be care. Ukweli utakuweka huru
 
Kweli kuna raha ya kuanza mali ila ukiktuta ishafunguliwa haina haja ya kuvimba unamvimbia aliyemfungua na wenzetu walivyo akiona hvyo anaweza kuwa anamuita wanapasha kipolo stay positive angalia umuhimu wa mwali ila pia inakuwaje kwa maisha ya sasa kwenye hio kitu unaweka matalajio kiasi kwamba ukikuta ulilotarajia ni tofaut unapanic just relax ukikuta pamefunguliwa tofaut na ulivyokuwa unaambiwa na kudhan bas maana hairudi hio pole boss
 
The worst thing anachofikiria ni kwamba mwanamke kama kashapitiwa basi atakuwa anafanya mlinganisho na jamaa wa kwanza..

Mwanamke aliyeolewa bikra anatumia maana anajua huyo mwanaume ndo kila kitu kwake .
 
Kweli kuna raha ya kuanza mali ila ukiktuta ishafunguliwa haina haja ya kuvimba unamvimbia aliyemfungua na wenzetu walivyo akiona hvyo anaweza kuwa anamuita wanapasha kipolo stay positive angalia umuhimu wa mwali ila pia inakuwaje kwa maisha ya sasa kwenye hio kitu unaweka matalajio kiasi kwamba ukikuta ulilotarajia ni tofaut unapanic just relax ukikuta pamefunguliwa tofaut na ulivyokuwa unaambiwa na kudhan bas maana hairudi hio pole boss

Ataupokea ushauri ila du inapain
 
Back
Top Bottom