Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Wewr unajuaje nimeolewaNdoa na mapenzi ni vitu viwili tofauti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewr unajuaje nimeolewaNdoa na mapenzi ni vitu viwili tofauti
Boss, Mahari inahusiana nn na uwezo wa mwanaume kumtuliza mwanamke aliyetulizwa akatulizika na wazazi wake?Ndio thamani ya mtoto wa kike, asiye na bikra wanaolewa bure, usitoe chochote msichana kama ana bikra utatapeliwa
Wewr unajuaje nimeolewa
Boss, Mahari inahusiana nn na uwezo wa mwanaume kumtuliza mwanamke aliyetulizwa akatulizika na wazazi wake?
Nani kakukatalia? angalizo ni uwezo wako, unaweza fanya walichofanya wazazi wake kwake na kwa wanao ili kuitunza hiyo thamani?Bikra ndio thamani ya msichana unataka hautaki
Nani kakukatalia? angalizo ni uwezo wako, unaweza fanya walichofanya wazazi wake kwake na kwa wanao ili kuitunza hiyo thamani?
Tatizo unawapataje! Kwa sasa hivi ni kama kutafuta sindano katika mchanga.
Lutu huyo huyo aliwagonga watoto wake .. Sasa Kati ya lutu na Mimi nani anajielewa. Lutu alitaka watoto wake wa kike wabakwe na mji mzima, huyu sio binadamu kwangu ni mpuuzi mmoja katika hadithi za wapuuzi wengineWatoto waliozaliwa na mama ambaye sio bikra ndio wanavyokuwaga hivyoo, watoto wa ovyo
Wewe ukoo wenu wote hawajaolewa bikra ndio maana hamna akili timamu, kuanzia mabibi zako wote... kizaz cha lutu ukoo wenu kila mtu mwanamke ni changudoa kwenye ukoo wenu
We jibu unazidi kuingiza mama za watu we vipi mbona unakuwa hujielewi..ndo maana unaulizwa una umri gani au una elimu gani maana hata kuhojiana vizuri na mtu hujui.Kama mama yako yupo duniani nenda kamuulize faida ya kuoa bikra, nae kama hajaolewa bikra mwambie asikudanganye amwambie ukweli labda bikra ilimtoka kabla ya kuolewa
Atakueleza uzuri tu faida za kuoa bikra
Mwanamke sio chombo elewa. Kama unataka chombo tengeneza Cha kwako utumieKama ulishakosea polee chief
Upendo unagawanywa kwa mwanamke ambaye sio bikra na chombo chako ambacho ulitakiwa utumie wewe peke ako kimeshatumika hakina siri tena
Taja vitabu vyote... katiba ya nchi yako inasemaje? Umeskia tupo Iran hapa au ..usilazimishe watu dini yakoNa Wewe nipe andiko lililosema Mungu tuoe wanawake wasio mabikra
Vitabu vyote vinakataa uzinifu, zinaa uasherati, kipi sasa unataka ueleweshe kama haujawa mzinifu au mtu wa zinaa bikra itakutokaje?
Jibu swali usikimbilie dini ulizoletewa na muarabu na mzungu. We Leo Muhammad akikuambia ugongwe utagongwa au...we jibu swali bikra inakusaidia Nini?Kwanini? Vitabu vya dini vimepiga marufuku uzinzi, zinaa kwanini?
Muulize mbona anavaa nguo zenye material tofauti, mbona hapigi mawe mashoga, mbona haswali Mara 5,Kwenye vitabu vya dini wamekata vitu bingo tu ikiwepo kusengenya wewe hujawai kusengenya...???ukiachana na uzinzi
Wewe Kama unataka bikra nenda katafute usipangie wengine pa kumwagiaHivi is this rocket science? You just ask!!! Within the first week of that friendship/relationship you should know whether ni bikra or not, umwambie unataka bikra muachane bila kuchezeana hisia/miili, uendelee na safari ya kutafuta unachotaka.
Huyo aliyefanyiwa "favour" kuolewa na wewe naye ana hasara. It's God who favours us. Acha kuchukua vyeo usivyofikia.
Bikra ya mdomo na maskio inakusaidia Nini. Kwanza mdomo na maskio Yana bikra..mbona unaongea upuuzi tu weweWengine hawana zote hata ya mdomo na masikio
Wewe ndo unaona wanawake magari ndo maana huna demu...we hujawahi kula demu yoyote ndo maana una Imani potofu...k usilolilamba linakuwashia Nini..tafuta demu ndo urudi uongee. Mtu mwenyewe bikra tuliza kalioKuoa mwanamke asiye bikra ni ujinga wa maksudi
Ni uamuzi ni Sawa na kwenda kununua gari ambayo used na kama una ufahamu zaidi lazima utafute gari ambayo haijawahi kutumia uenjoy gari kuliko kwenda kununua gari bovu
🤣Sawa kwa vile utakuwepo sawaYeah ndoa ni ya wawili tu na sio zaidi... nikifa anatakiwa awatunze watoto hakuna ndoa mbili
Wakati wa kutolewa bikra ni upiHilo ninyi wamama ni jukumu lenu kwenye malezi ukimlea mwanao vibaya atazitoa au atatolewa bikra kabla ya wakati wake