Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

Nilimkuta mke wangu bikra ila na bado nilichapiwa, wewe Je?

ukitaka ufe mapema fuatilia habari zamke uliyemwoa sisi tuliooa bila kuiga ,tunaraha Sana anavotoka mkewangu hua namkumbusha Hawa watoto wadogo sana uwepowetu duniani nimuhimu sana , namwambia AFYA ni faraja kwenye kipimajoto chako kondom zimo ? ...huishia kucheka ujumbe umefika
Duh!!.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajisumbuaaa tu usishindane na ulipitokaaa hebu jaribu kusoma nyuziii zangu zote then linganishaaaaaaa huonee kama utapata kweli hata mojaaaa

Pole jombaaa mimi bikiraa sinaaa kweliii ila vipi Kuna nyizi umeonaa nimeongelea nimemkumbuka alienitoa bikiraaa [emoji23]
Wewe pambana na kibamia chako bhn sisi tunatafuta wenye nazo

Kwaiyo umekaa ukaona huna hoja basi uanze kupitia nyuzi za watu ili uje ucomment kijana mdogo wewe hujui kitu endelea kuitafuta hiyo bikiraa huku ukichunguliaa hizo nyuziiiiiiiiiiii

""....... sisi tunatafuta wenye nazo""

Hii ndio point ya msingi MONEY.

Women are hungry for wallet and men are hungry for pussssy.

#YNWA
 
Unanitag tag sanaa wewe kijanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi tayari nilibebwa na kabebi boy kangu hapaa wewe endelea kutafutaa bikiraa tu

""Wewe pambana na kibamia chako bhn sisi tunatafuta wenye nazo""

Hivi kuolewa kumbe sio mwisho wa kutafuta wenye hela..!!!

Mpaka mliobebwa bado mnatafuta??

#YNWA
 
ukitaka ufe mapema fuatilia habari zamke uliyemwoa sisi tuliooa bila kuiga ,tunaraha Sana anavotoka mkewangu hua namkumbusha Hawa watoto wadogo sana uwepowetu duniani nimuhimu sana , namwambia AFYA ni faraja kwenye kipimajoto chako kondom zimo ? ...huishia kucheka ujumbe umefika

Wewe ni lofa.
 
Ndo uwongo Sasa, ur data is not scientifically proven, ni wishful thinking tu. Hujafanya research yoyote zaidi ya story za mtaani kwa sababu elimu hamna. Mna Simu mna vitabu ila kazi kupiga mayowe, siku zingine tumieni google chat gbt na vitu vingine, mnaendelea kuongea pumba tu bila data
Kujadiliana na mtu kama wewe ni kuamua tu kupoteza muda! a man of baseless assumptions!
 
Wewe ni mamamzungu nini? Umekuja na zuga na I’d nyingine ah ah ah ah ah ah

Uki ni attack na mimi naku attack ... Tt fo tati haina kutia unyonge

By the way nimeshamuomba radhi mamamzungu nadhani amenielewa sina tatzo naye ila nilienda kuchungulia kwenye account yake nijue kwa nini? Amekuwa ananipinga sanaa

Naendelea kutaka radhi Kwa mamamzungu zingine tunataniana tu hamna tatzo

mamamzungu I’m so sorry my love [emoji3590]
Toa hoja sio kusema watu...hujatoa hoja ya msingi tokea uanzishe mada mpaka title mmebadilisha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajisumbuaaa tu usishindane na ulipitokaaa hebu jaribu kusoma nyuziii zangu zote then linganishaaaaaaa huonee kama utapata kweli hata mojaaaa

Pole jombaaa mimi bikiraa sinaaa kweliii ila vipi Kuna nyizi umeonaa nimeongelea nimemkumbuka alienitoa bikiraaa [emoji23]
Wewe pambana na kibamia chako bhn sisi tunatafuta wenye nazo

Kwaiyo umekaa ukaona huna hoja basi uanze kupitia nyuzi za watu ili uje ucomment kijana mdogo wewe hujui kitu endelea kuitafuta hiyo bikiraa huku ukichunguliaa hizo nyuziiiiiiiiiiii
Hivi kuna alietolewa bikra akasema aliemtoa hiyo bikra anakibamia mnafeli wapi sema sufuria limesongewa ugali mda mrefu limeongezeka ukubwa 🤣🤣
 
Back
Top Bottom