Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

Wakati unatembea na huyo mzee hakuwa mkwe na mlishamalizana. Aendelee na taratibu za kuolewa na kijana wa huyo mzee ila asitembee na huyo mzee baada ya ndoa. Mana baada ya ndoa ndio itatambulika kuwa ndio mkwewe
 
Sawa boss
Asante kwa ushauri
 
Hata hicho kichwa cha habari chenyewe inabidi kibadilishwe.
Alikuwaje baba mkwe wako kabla hata hamjakutana na huyo mwanaye?

Ila hii story inatafakarisha sana!!!
Baba; after 3 yrs mtoto wake!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…