Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Mnataka niseme Tena mnipige πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… heri wewe

mimi nilikua mshamba wajanja wakanibebea bebi pale high school wakabebeshana hadi mimba. Imagine watu wana kiss class na wewe upo πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
Dah! Sasa siupige goti kumshukuru Mungu
Ile mimba ulitakiwa kupewa weweπŸ™Œ
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… heri wewe

mimi nilikua mshamba wajanja wakanibebea bebi pale high school wakabebeshana hadi mimba. Imagine watu wana kiss class na wewe upo πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ
Iyo kiboko kabisa duh
 
Huyu H anayeongelewa hapa sio Lastborn wangu kweli?

Na huyo Mzee uliyekuwa unamsalimia Kwa adabu hakuwa Mimi kweli?

Kweli Vijana wanafaidi πŸ€—
πŸ˜‚πŸ˜‚Wanafaid nn sasa
 
Sababu ni kweli ninakumbukumbu had za chekechekea hapa nilipo Nina afya njema,sinywi pombe sivuti bangi so akili yangu ni ngumu kusahau nakumbuka had nilosoma nae vidudu Kwa sura na matukio Yao yote
Mwaka 1992 Vidudu Songea Mission nakumbuka tuliingia kwenye chumba fulani kuna kohifadhiwa maziwa ya unga, sukari na vikombe vya uji. Mwenzangu akawa analamba yale maziwa ya unga kwa fujo mpaka akawa anatoka makamasi na mengine akaficha kwenye kimfuko cha shati naikumbuka mimi hii 32 yrs ago na huyo jamaa alikuwa anaitwa Nasukigwe 🀣🀣🀣
Nilikuwa na miaka minne kuelekea mitano
 
Kawaida Hata mimi mpenzi wangu wa kwanza ni Fetty mawenge yeye ndo alianza kuniambia ananipenda mi nilikua mgeni kwenye mapenzi nikamwambia anipe muda nimfikirie niliogopa kukubali harakaharaka ili asinione ni kijana muhuni
Yule mpare alikuwa wangapi mkuu🀣🀣
 
Tufanye wew ungekuwa H mzigo ungeuachaπŸ˜‚πŸ˜‚
Acheni kuuliza maswali magumu
Hapana mimi mzigo ningeuacha kwa kweliπŸ˜€

Ila inaonyesha wewe Aaliyyah ni mwanamke mrembo,mzuri na msafi wa mwili na roho

Nikirejea kwa mkuu wa shule na huyo H wako kukupendaπŸ˜€

Najiaminisha kuwa wewe ni mali safi na bando changa kabisa mkuuπŸ˜€
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanapenda hilo neno la 'unalia nini umefiwa'..??
Hivi wazazi wetu wenyewe hawakuteswa na mapenzi kabisa kwani..?? Mbona wanajikuta ma concord hivyo.?
 
🀣🀣🀣🀣dah na kweli,huo muda wa kulialia Bora ungefanya ibada
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wanapenda hilo neno la 'unalia nini umefiwa'..??
Hivi wazazi wetu wenyewe hawakuteswa na mapenzi kabisa kwani..?? Mbona wanajikuta ma concord hivyo.?
Utaaona na wewe utakavyokuja kudeal na watoto wako,hamna kitu inanimate kama nikifikiria mwanangu alivyo so special kwangu kuna mjinga mmoja atakuja kuuvunjavunja moyo wake...mapenzi haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…