Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

Nilivoachwa kikatili na mpenzi wangu wa kwanza

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃhivi kumbe ni bangi na pombe ndio zinafanya tunasahau watu?aisee yaani mimi naambiwaga naringa watu niliosoma nao nawakumbuka wachache sana ambao nilikuwa nao close flan ila kama ulikuwa tu classmates halafu mpole ndio sikukumbuki kabisaaaaa
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Mnataka niseme Tena mnipige ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… heri wewe

mimi nilikua mshamba wajanja wakanibebea bebi pale high school wakabebeshana hadi mimba. Imagine watu wana kiss class na wewe upo ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
Dah! Sasa siupige goti kumshukuru Mungu
Ile mimba ulitakiwa kupewa wewe๐Ÿ™Œ
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… heri wewe

mimi nilikua mshamba wajanja wakanibebea bebi pale high school wakabebeshana hadi mimba. Imagine watu wana kiss class na wewe upo ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
Iyo kiboko kabisa duh
 
Huyu H anayeongelewa hapa sio Lastborn wangu kweli?

Na huyo Mzee uliyekuwa unamsalimia Kwa adabu hakuwa Mimi kweli?

Kweli Vijana wanafaidi ๐Ÿค—
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Wanafaid nn sasa
 
Sababu ni kweli ninakumbukumbu had za chekechekea hapa nilipo Nina afya njema,sinywi pombe sivuti bangi so akili yangu ni ngumu kusahau nakumbuka had nilosoma nae vidudu Kwa sura na matukio Yao yote
Mwaka 1992 Vidudu Songea Mission nakumbuka tuliingia kwenye chumba fulani kuna kohifadhiwa maziwa ya unga, sukari na vikombe vya uji. Mwenzangu akawa analamba yale maziwa ya unga kwa fujo mpaka akawa anatoka makamasi na mengine akaficha kwenye kimfuko cha shati naikumbuka mimi hii 32 yrs ago na huyo jamaa alikuwa anaitwa Nasukigwe ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Nilikuwa na miaka minne kuelekea mitano
 
Kawaida Hata mimi mpenzi wangu wa kwanza ni Fetty mawenge yeye ndo alianza kuniambia ananipenda mi nilikua mgeni kwenye mapenzi nikamwambia anipe muda nimfikirie niliogopa kukubali harakaharaka ili asinione ni kijana muhuni
Yule mpare alikuwa wangapi mkuu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Tufanye wew ungekuwa H mzigo ungeuacha๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Acheni kuuliza maswali magumu
Hapana mimi mzigo ningeuacha kwa kweli๐Ÿ˜€

Ila inaonyesha wewe Aaliyyah ni mwanamke mrembo,mzuri na msafi wa mwili na roho

Nikirejea kwa mkuu wa shule na huyo H wako kukupenda๐Ÿ˜€

Najiaminisha kuwa wewe ni mali safi na bando changa kabisa mkuu๐Ÿ˜€
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Hawana time na ujinga mm alinikuta mara mbili ya kwanza ndio hiyo Ilikuwa usiku mara ya pili alfajiri akanambia kuacha kuamka kufanya ibada unaamka kulilia ujinga au Kuna msiba wa shangazi Yako ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wanapenda hilo neno la 'unalia nini umefiwa'..??
Hivi wazazi wetu wenyewe hawakuteswa na mapenzi kabisa kwani..?? Mbona wanajikuta ma concord hivyo.?
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃdah na kweli,huo muda wa kulialia Bora ungefanya ibada
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Wanapenda hilo neno la 'unalia nini umefiwa'..??
Hivi wazazi wetu wenyewe hawakuteswa na mapenzi kabisa kwani..?? Mbona wanajikuta ma concord hivyo.?
Utaaona na wewe utakavyokuja kudeal na watoto wako,hamna kitu inanimate kama nikifikiria mwanangu alivyo so special kwangu kuna mjinga mmoja atakuja kuuvunjavunja moyo wake...mapenzi haya
 
Back
Top Bottom