Nimeacha pombe na sigara lakini napata taabu sana, sipati usingizi hadi usiku wa manane

Binafsi nakupongeza kwa hatua hiyo, mimi nilikuwa mraibu wa pombe kali, ilifikia hatua nisipokunywa natetemeka mikono mpaka kuandika inakuwa tabu, ilinibidi asubuhi kabla ya kwenda job nipige hata robo rita ndio nikifika kazini nakuwa vizuri. Lakini nashukuru nina kama miezi 4 nimeacha pombe kali nakunywa bia kadhaa kisha nalala ingawa napata tabu sana na niko kwenye mkakati wa kupunguza kama sio kuacha ila sitaki kuacha ghafla maana najua itanitesa so shikiria hapo hapo ulipo, sigara sijawahi kuvuta kwahiyo sina uzoefu nayo
 
Mungu akusaidie sana, hongera sana, ukijikuta na hamu ya kunywa/kuvuta iambie nafsi kama jana uliweza leo utaweza pia, siku kwa siku wewe ni mshindi.
Amen mkuu nitashinda hakika maombi yenu na faraja zenu ntafika sehemu itakuwa historia
 
Sawa mkuu mimi nimeamua kuacha gafla maana nilisema toka 2023 nitaacha lkn nilishindwa kuacha zaid ya kusema mwezi ujao na hivyo december niliamua na sasa nina mwez sijavuta sigara wala kugusa chupa
 
Kwanza nakupongeza sana kwa kuachanana na unywaji wa pombe na uvutaji wa sigara,
Endelea kufanya mazoezi pia kama unavyofanya lakini pia kabla haujalala piga push up hata 50 kila siku usiku out of kucheza mpira tu
Lakini pia make sue unapata sex mara tatu kwa week ndugu yangu usingizi
 
Amen ngoja ninunue pia lile karatas zima liwepo getho
Yeah wanao acha sigara wengi wanafanya hivyo,unajua kiambata cha nikotini katika sigara kinafanywa na ubongo kama kitu ambacho kinahitajika katika matumizi ya mwili ya kawaida

Kwahiyo badala ya nikotini una exchange na pipi kifua,mwisho wa siku arosto ya sigara inaisha
 
Alafu ss ndio uache mwezi urudie Leo utavyosikia utamuake ss πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹ yaan unaweza vuta pakti
 
Aisee ina arosto kubwa nashauri mtu kama hajawai asijalibu hata pafu moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…