Si useme tu ukweli shida zote zilianzia hapa 😊 Leonce jr5. Haoni thamani ya fedha (ni mfujaji ananunua kitanda cha 700k) na vitu vingine vya thaman vya thamani tofauti na anachokiingiza asilimia kubwa ya fedha anategemea atoe kwangu kama sio nusu item husika 6.
Sa hihihi mkuu barikiwa sana siwez kumchukia wala kumuombea mabaya hata siku mojaMapenzi yanawatesa sana vijana wa kitanzania,
Ebu focus kwenye mambo yako ya msingi, lakn kikubwa zaidi kata naye mawasiliano na usimchukie, msamehe kwa mabaya aliyokutendea, mfichie madhaifu yake!
Kwa kufanya hayo utakuwa umemnyima shetani nafasi ya kukuendesha na utakuwa umempa MUNGU nafasi ya kukuletea MKE BORA!
Relux, HUWEZI JUA MUNGU KAKUEPUSHA NA NINI!
Mkuu sasa EAGT na LUTHERAN hakuna tofauti . Utofauti hapo ni maandishi tuuHabari.
Moja kwa moja kwenye mada
Mnamo mwaka 2016 nikiwa form form five mkoa x nilibahatika kuonana na huyu binti mweusi, mrefu wastan, mnene kiasi na mcha Mungu mpaka sasa.
Nilimpenda ikiwa ni sababu hizo alikuwa ananishauri muda mwingi kuwa mtu mwema na kumpenda, kumcha Mungu wakati wote
Na ni kweli nilikuwa naogopa kufanya vituko au fujo sehemu akiwepo nilikua na behave kuepuka ku mkwaza japo jasiri haachi asili.
Muda ni miaka 8 sasa tukiwa kwenye uchumba wa kawaida tulikua tunapotezana lkn tunapatana tena
Yeye hakuwa vizuri sana darasani mimi nilikua najiweza kias chake japo sio sana lkn sijawai ku fail wala kupigwa fimbo za ku fail masomo class.
Hivyo yeye ali fail na kurudi kwaO mkoa x mimi nikabahatika kujiunga na chuo kikuu cha dodoma UDOM
Nilitukiwa shahada yangu ya kwanza mwaka 2021 huku nikiwa naendelea kuwasiliana nae kila mara. Lkn tulipotezana gafla hakuwa online kwa muda na bila taarifa kuniambia
Baada ya mda kupita alinitafuta na kunijulisha kuwa kajiunga na jeshi (JKT) Mkoa X mwaka miezi ikapita akaomba nafasi za polisi akapata na sasa hivi ni polisi mkoa x
Nimemuacha kwa sababu 1. Nampenda sana sana 2. Yeye ni mwajiliwa wa jeshi la polisi kwa kifupi polisi mimi siwapendi wote 3. Amekua na lugha za komandi anataka nihamie dhehebu analosali yeye EAGT na mimi ni MLUTELI PURE UKOO WETU 4. Nipo mbali naye sana yeye yupo KILIMANJARO mimi MBEYA 5. Haoni thamani ya fedha (ni mfujaji ananunua kitanda cha 700k) na vitu vingine vya thaman vya thamani tofauti na anachokiingiza asilimia kubwa ya fedha anategemea atoe kwangu kama sio nusu item husika 6. nikiwa nime chill naye mama mkwe nilimsikia kwa simu kuwa atafute askari mwenzie ndio awe mwanaume wake japo hajui kuwa nilisikia. N.k
Najipanga niongezee kipato ni focus na mambo yangu niitumie degree yangu tukutane kileleni i declare now am single again
Namuacha roho yangu inauniuma sana na haitaki nimuache kabisa lkn inanibidi tu nimuache tu. Nime mblock kila chember kila aina ya mawasiliano nimewaambia ndugu zangu wasimpe taarifa yeyote ile kuhusu mimi.
Am sorry mumy siku yeyote mwaka wowote siku ukija kuona huu uzi basi kila lenye mwanzo halikosi mwisho but jua kuwa NAKUPENDA sana kila la kheri kwenye majukumu yako ya kazi na kupata mpenzi aliye bora na sahihi kuliko mimi
Najua umesoma ushauri, na ndivyo ilivyoFafanua madam
Sa hihi mkuu japo na mm ni mtumishi lkn ile kauli ya mama mkwe huenda ni watu wanapenda u fahari kweli hta hivyo mimi mwenyewe sio kinyonge na nyumban pia kupo bomba sana japo sio mboga sabaVijana kama ninyi ndyo tunawataka kwenye majukumu yetu ya kula uku tumefumba macho safi sana hakika angekupa maumivu maan kwanz angetumia lugha ngumu
*Kama kaajiriwa then wew unajitafuta angehis amekuzid kiuchumi
*Tabia ya wanawake walio ajiriwa uwa wanakazarau Cha kujianzishia wenyew bila kulisi
*Kama mamayake mzaz ameshapima uzito wa maji na unga usilazmishe uwa familia iyo inapenda maisha ya kifahar,kuonekan n watu flan wa hadhi ya juu
NB.umechukua hatua muhimu mapema sana ni vzur Kuna vibaba wanakuja JF wanalilia sababu ya bila mpangilio 👍👍👍👍👍👍👍
Ndio nimesema uki lejea koment zangu za nyuma kama tutakuja kuonana tena nimemuacha bila mtoto na hatakua na mtoto muda ukifika nitampokea ila akija na mtoto hayo mapenz hayatakuw ya Mungu bali ni ya yule mwovuMambo uliyotaja kama sababu yanarekebishika!
Matumizi,kukomand,mama mkwe n.k yanarekebishika kabisa!
Muombe Mungu kama ni mapenzi yake iwe kama sio vunja!
Madogo wa Diploma hakikisha GPA iko below 3. Asiwe na vigezo vya kuunga.Yote tisa demu wangu siku amemaliza diploma with 21 of age mwakajana nikampigia simu mama yake! Siku moja maza akaanza kanyoosha mwanangu ameniambia anataka aunge degree
Sitaka akae abweteke mwishowe aishie kuolewa(🤔remind you mother hajui kama Nina mahusiano na huyo binti)
Siku moja binti akaniambia kuolewa labda afikishe miaka 28😁nilicheka kimoyo moyo (hajui alisemalo)
End mother ake hajawah kuolewa sahv anaitafuta 50
Hitimisho,maneno ya mama kwa mtoto wake yananguvu, wewe usitufanye sisi watoto demu unampenda Ila ishi maneno yako
Miaka 23 nilikuwa form two sjui ata tundu la mbususu🥶😝Mnaanza ngono form V? Mi nilichelewa aisee. Ila nyeto nilianza F2.
Nashangaa sana majaa form V walikua washajua hizi mambo.Miaka 23 nilikuwa form two sjui ata tundu la mbususu🥶😝
Ukisikia anaolewa? Utaweza kuhandle? Hakikisha maswal hayo unajijibu huku ukiwa huna maumivu. Ukioa huto mkumbuka, mkikutana huko mbeleni hamtaharibiana ndoa ambayo kila mtu naingia? Kwani ukisimama Kama mwanaume na kumpa msimamo Wako kuwa usipo badirika tuna achana , halafu umwangalie atafanyaje . Ndugu mapenz ni mazuri Sana ukipatia, na ni mabayaaaa Sana ukikoseaAsante mkuu wacha niangalie mbele japo najua anaweza kunipata kazini kwangu naogopa ku mchana makavu naona ataona kama nimepata mwingn
Mkuu mimi ni mwaisa nikiamua nimeamua kama itakuwa hivyo itanichukua muda sana kurudi sana
Sure nakuambia. Wakishalijua bumu hawa wanabadirika.Oyaa sio 🤣🤣
Alipata 3 na zaidi kwahyo anayo qualification ya kuproceed mbele sahv Kako degree, naona anajipost tu tako mtandaoni,Madogo wa Diploma hakikisha GPA iko below 3. Asiwe na vigezo vya kuunga.