Nimeamua kuoa Msabato

PF ndo nini?? ntawafuatilia zaidi wasabato
PF ni pathfinders au watafuta njia, ni vijana wadogo kuanzia 5yrs nadhani. Wanapewa mafundisho mbalimbali ya kiimani na kijamii, pia wapo AY ie. Adventist Youth na MG ie master guides. Hizi categories ni nzuri sana katika kuwajenga vijana kiimani na kijamii. Nazikumbuka ujanani sema shetwain nae kashafanya yake nadhani [emoji39]
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hivi wasabato wananena kwa lugha kama walokole?
 
Hahaha
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Shetani kama shetani!
 
Kwa hiyo mkuu! Hahaha...Shetani kashakuvaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
100%you are kidding. Ndoa haiwekewi vigezo vingi hivyo kama ajira
 
Usishawishike na Sabato Maisha yamebadilika sana.... Mfno; garama za kutunza hizo nywele ni shidah wkati mwingine bora anayesuka tu

Cha msingi funga na kusali mwombe mungu akujalie mke mwema usiangalie Dini wala Kabila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…