Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Mkuu huna ujanja zaidi ya kulipa fedha za watu. Ila unalo jambo la kujifunza, nalo si lingine zaidi ya kuepuka kupokea fedha taslimu za michango ya watu.
Sawa sawa mkuu. Nitazilipa kwa kudra zake yeye...
 
Unapaswa kubadilika ili nawe uwe sehemu muhimu ya matumizi ya uhakika ya teknolojia ya sasa yenye uwezo mkubwa wa kuthibiti miamala ya fedha inayotumika.
Thanks once again brother. Safi sana mkuu.
 
Me huwa natoa LAKI 4 naweka kwenye wallet na inakaaa vizurii tuuu pamoja na Vitambulishoo ongezaaa na wallet inafunga.
Hao jamaa wabishi sana na inaonekana wanatumia wallets za vijana wa secondary...
 
Kiendacho kwa mganga hakirudi,kausha kisela kindava.
 
Umepewa hela za rambi rambi unaetakiwa kumwambia kuwa umepoteza hela

si hao waliokupa,maana wao wameshatoa (si zao tena) maana hata ukiwambia

hawawezi kukudai kwasababu walishazitoa kwahyo hazipo katika hesabu zao tena.
Poa mkuu...
 
Poa poa chief...
 
Kitendo cha kusema tu

tukio lililo kupata tayari haupo ktk kundi la Tapeli au mjanja mjanja ila wewe ni Mwema na

usie na mbinu ovu hivyo Mungu akubariki akufungulie njia yakupata nyingine ukalipe deni lako.
Ushauri mzuri sana huu mkuu. Thanks once again.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…