Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Kwenye suala la pesa hutaeleweka. Kila mmoja atasema kivyake. Weka rehani chochote au kakope kwani ukiekeza utaongeza msiba juu ya msiba. Watu wataenda kwa waganga na waganga watakuangushia jumba bovu
 
Kaka cha msingi omba urudishiwe vitambilisho tu!! Wallet na hela hiyo ni faida ya mwokotaji.
 
Ha ha ha ha ha ha umetisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…