Nimeangusha pesa ya rambirambi 300,000/= cash mchana huu

Mkuu, kuchangia sio lazima iwe pesa, hata kitendo cha kusema tu "Pole sana Infantry Soldier" huo pia ni mchango tosha mkuu
Tusahameane Mkuu.Tukio lako ni zito sana.Ila utalivuka.Pole sanaa kwa kweli...najaribu kuwafikiria hao ndugu zako.
Kuna wale mimi nilijua tu sikutaka kusema.
 
Sijawahi kutumia wallet za kuhifadhia pesa, naona ni mzigo kwangu sijui ni ushamba umenijaa.
Nina slim ID holder wallet basi.

Pesa natia mfuko wa nyuma zikilindwa na kifungo chenye diameter ya 2cm.😀
 
Mfuate Magu kwa ushauri. Ni mzoefu wa kula fedha za rambirambi.
 
Daah nime fungua fastafasta nikuulize umeangusha maeneogani kumbe nimuda sana aah poa bana.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…