Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

Ndio mimi nimekupa hiyo feed back ulio taka! Hii simu imezidiwa na ANDOIR VERSIO na BATTERY tu, ukilinganisha na simu nyingi matoleo ya sasa!, ila tofauti na vigezo hivyo, hakuna simu ya level yake unaweza fanananishana nayo
Asante
Aquos r7
Ngoja nikaichek Leo

Na toleo lake latest ni lipi?
 
Simu ya kwenye box inakuwa kama mpya kabisa japo ni refurbished.
Duh so ndo kusema tununue za Dubai , maana hizo hazipo kwenye box

Ila jmn eti cm ipo kwenye box lkn vitu vingine unanunulia aisee bongo noma
Cm zangu zote nilikuwa nanunua mlimani,ila hii inayostuck nikinunua sabasaba😁kupenda vya promotion
 
Um
Samsung A series hazina utofauti na infinix.
Umewahi kutumia A series gani? Au unajua kuwa kuna A05, A12 na A16!!!
Zipo Infinix zinazoweza kuwa mbadala wa Samsung A series kadhaa ila siyo A series zote.
Yaani A56 yenye Amoled, frame ya aluminum, kioo Cha gorilla n.k ulinganishe na hiko ki-infinix.
 
Poco zinapokea updates ila ni miaka michache mara nyingi ni only 3 years
 
Tunaotumia oppo a96 mikono juuπŸ˜…πŸ”₯
Imagen Ram 8+5
Rom 256
Battery 5000 mah
Camera 50 mp
Body type- slim

Simu kustuck nshasahau kama kuna hilo janga
Average income earners nunua hiii device utarudi kunishukuru

Oppo mtaniua ni hizi baraka
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Ht A26,36 ni nzuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…