Nimechagua Infinix hot 60 pro badala ya Samsung A16 zote bei zilikua sawa 400k

Yaani vioo vyao ni hasara kikipasuka. Nimebaki na simu mpya kama kopo tuu na ubaya havishuki bei mpaka mtu unaona bora ununue simu nyingine tuu.
kioo hakishuki bei kwa sababu kioo hakinaga kupungua quality mfano kioo cha OLED ni ghali sanaa.

hvo hivo hata kwa TV zenye kioo cha OLED utazikuta zinauzwa ghali sana
 
Hizo simu ni equivalent processor moja, oled display na ufs storage so day to day matumizi yatakua sawa.

Ila Samsung wana warranty nzuri zaidi na bei ni rahisi. A16 ni kama 330-350 hivi.
Mkuu kwa Budget ya 4k napata flagship ipi ya zamani ?
 
Mkuu kwa Budget ya 4k napata flagship ipi ya zamani ?
 
Mkuu kwa Budget ya 4k napata flagship ipi ya zamani ?
4k unamaanisha laki 4? Inategemea unataka nini kwenye simu.

Kama ni Camera na matumizi ya kawaida Aquos R7 ni nzuri, ni ya karibuni, sensor inch 1 ya camera, clean software sema inatumia snapdragon 8 gen 1 ambayo ina tabia ya kupata joto.

All around simu inayo tick mambo mengi ni Samsung S20FE kuanzia ukaaji chaji, kioo kizuri, camera nzuri etc

Kama unataka kucheza games na simu yenye nguvu sana kwa bei rahisi Xiaomi redmi note 12 turbo ya kuagizishia nje, kwa hio budget hadi version ya 16GB na 1TB storage unapata.
 
Asante Chief unaweza kunipa Conection ya duka wanaouza S 20FE Orignal nisipigwe clone..
 
Sawa
Ht nikinunua hiyo hot 60 Leo after 2 yrs nitaanza kuhangaika ndo hayo mambo staki
Nibadirishr cm Kwa kupenda ,au kuichoka ila sio cm inaanza kusumbua kuharibiana baget tu
 
Asante
Ht hivyo huwa nanunua mpya kwenye box labda napo wanipige Kwa kuweka kwenye box😁
 
Kiukweli sikuwa najua hii brand ndo nimeona juzi kati nikaipenda ila naona sio common sn huku kwetu km iphone na Samsung,Infinix,Tecno.....
So kupata anaeifaham akakupa feedback ni ngumu pia
 
Kuna simu za Xiaomi zinaitwa Poco.
Mimi nilinunua Poco F3 NFC, specs nzuri hata build iko poa lakini hizi simu nje na brands tunazozijua zina changamoto kwamba hautapata upgrade ya Android.

Sasa ikanizingua touch ikawa inajitouch, imebidi niiache nirudi kwenye tecno kipindi najichanga kuchukua simu nyingine. Na nimeazimia simu nyingine iwe A56 5G nimeona itapokea updates karibia miaka 7.

Wakati hii poco nimetumia kwa miaka 3 ikiwa na Android ile ile wakati wenye android yao wanatoa update
 
Ukileta mteja mpya awe rafiki au ndugu yako anaenunua kwa mara ya kwanza akinunua kifurushi cha Gb5 kuendelea unapewa zawadi ya Gb2 bure

Vile vifurushi vya bei nafuu sawa na buree vipo wahi usichelewe ukakosa utajilaumu
HALOTEL MWEZI
Gb5 kwa 6000
Gb7 kwa 8000
Gb10 kwa 10,000
Gb15 kwa 14,000
Gb18 kwa 15,000
Gb20 kwa 17,000
Gb25 kwa 20,000
Gb30 kwa 25,000
Gb38 kwa 30,000
Gb40 kwa 32,000
Na Kuendelea
0618370992
 
Kiukweli sikuwa najua hii brand ndo nimeona juzi kati nikaipenda ila naona sio common sn huku kwetu km iphone na Samsung,Infinix,Tecno.....
So kupata anaeifaham akakupa feedback ni ngumu pia
Ndio mimi nimekupa hiyo feed back ulio taka! Hii simu imezidiwa na ANDOIR VERSIO na BATTERY tu, ukilinganisha na simu nyingi matoleo ya sasa!, ila tofauti na vigezo hivyo, hakuna simu ya level yake unaweza fanananishana nayo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…