Nimechoka na matusi ya huyu kaka yangu mwenyewe Miaka zaidi ya 40

Huyo hajarog huyo hajarogwa ni AMEDEKEZWA ,......ningekuwa karibu ningewaonyesha dawa ya watoto waliodekezwa,...shenzi zake,...
 
Mama's boys wapo wengi sana mkuu wanasumbua familia zao.
 
Endeleeni kumlea mpaka siku awape umaarufu kina AYo tv na wenzao wapishane kuhoji majirani.
 
Mama anayo majibu yote.kaa naye chini atakwambia sababu halafu tafuteni mtumishi wa kiroho asaidie kuwatatulia hicho kifungo.Ipo sababu mama yako anaijua.huenda siyo kosa la huyo kijana.
 
Sidhani kama itawezekana huku Dar ndugu yangu kila mtu anaogopa kesi
Turuhusu tuje wawili tu wa mikoani. Tatahakikisha tunaondoka pale tu atakapoanza kukuamkia shikamoo dada...! Sema tufikie wapi?
 
Mpaka unaandika haya hamjatenga msiba?Get rid of that bastard.
 
Dawa ni kumroga mnatakiwe mmufunge kabisa kimila, kama hujui tafuta wasambaa, wanguu wa kilindi na handeni au wabondei wa muheza na korogwe
 
Sifahamu kama alidekezwa maana tumeshare mama… sijakua nae mimi nimekuja kumfahamu nikiwa mkubwa kabisaa.. sijajua sasa hiyo zamani
Kwani hapo anapoishi ni Kwa Baba yake au kwa Baba yako? Kwasababu umesema mmeshea Baba ina maana kati yako wewe na huyo Kaka yako mmoja wapo hapo siyo kwao. Na kama huyo Kaka yako hapo siyo kwao kumtimua inakua rahisi.
 
Huyo anafanya makusudi apewe kipondo kizito atatulia japo kuacha siyo rahisi, nina kaka yangu mmoja mtoto wa mama mkubwa alikuwa akilewa anakuja anatukana hapo wote mliopo hata kama mnafanya ibada, anatukana wote hadi mama yake, kuna kaka zangu wakawa wanamfunga kamba wanamtandika lakini akikaa akipona anarudia kama kawaida. R.I.P kaka Hamis

Huyo ndugu yenu hapo nadhani atakuwa na tatizo la akili jaribuni hospitali za magonjwa ya akili.
 
Ukitaka kujua jinsi mama yako anavyompenda, kamfungulie mashtaka awekwe ndani ndipo utaelewa. watu wa namna hii huwa wanapendawa sana na mama zao. Mnaweza mkashirikiana na mama yako kumsema ila baadaye utakuja shangaa yuko upande wake.
Try utaona.
Ndio maana polisi wameuona huo mtego wakakwepa wanajua wakifanya action baadae ndugu wanageuka kuwalaumu polisi kwa nini wamechukua hatua.
 
Usikute huyo alisharogwa na wenzake, binadamu tuna wivu wa kijinga sana haswa kwa wasio na elimu
 
Mkandarasi tafsiri yake ni nini?
 
Hakuna mwanamke anaeweza kukaa nae anawadhalilisha wanawake kwa matusi ya nguoni wanamkimbia.. watoto anao 3

Kazi anayofanya ni ukandarasi anaendesha yale magari ya kujenga barabara
Watakua washamroga maana ma operator kwa kutumia waganga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…