Tunatafuta kituo cha waathirika wa bangiMuda ni huu iteni polisi wampeleke ndani akakae jela kwanza lasivyo atakuja kuwaua kweli endeleeni kuchekea ujinga halafu mkishauliwa mnaanza kulialia Mama Samia Serikali pumbavu zenu muda si huu wa kumtia nguvuni mnao mnamchekea chekea atawaua kweli endeleeni kumchekea mnachekea ujinga pelekeni polisi akafungwe kwanza kutishia kuua tu ni kosa Kisheria yaan hata kwa Maneno na Vitendo ikithibitika anaenda kuozea jela mpelekeni polisi mkiendelea kumchekea atawaua kweli nawaambia mimi na akishawaua na hamjachukua hatua yoyote ya kisheria msije kulialia humu maana tulishawaambia wala msilie mbele ya Camera Mama Samia Serikali mtusaidie
Ndio kilichotokea mkuu hataki akae jela anasema kama tunataka kumfunga tufungue kesi sisi tusimame mahakamaniHuyo kaka yako wakati wa kukua kwake nadhani alikuwa mtoto mpendwa wa mama yako, Yaani mama yako alikuwa anampenda sana. Na inaonekana ameanza ukorofi toka utotoni na mkawa mnamtetea badala ya kumwajibisha. Umri aliofikia akili ishakomaa Diplomasia haiwezi kusuluhisha chochote zaidi mnatakiwa kutumia nguvu ili aelewe Kuna wenye ngvu zaidi yake kabla hali haijawa mbaya zaidi ya hapo.
Kwenye hizi purukushani mara nyingi mzazi (mama) bado anakuwa anamuonea huruma mwanae kiasi cha kushindwa kumwajibisha, hii inawapa ugumu ndugu wengine kuchukua maamuzi na ikiwa hivyo hapo hua inabidi Kila mtu aangalie mustakabali wake (kujitegemea) na hayo mambo ya mama na mtoto awaachie wenyewe.
Mimi nimeamua nihame tu nitafute pa kukaa kama watauliwa wa nyumbani basi ni juu yao… kama mama hataki mwanae afungwe anasema jela hajifunzi kitu tufanye nini sasaKalala polisi lini leo au lini? Usituchanganyie habari hapa km alilala polisi zamani nendeni polisi afungwe hata miezi 6 jela ndio akili itamrudia bila hivyo atakuja kuwaua huyo endeleeni kumchekea au mnataka muonekane kwenye TV mkililiwa na ndugu zenu baada ya huyo mibange kuamua kuwaua? Km kauli zake ni kutishia kuua nawaambia ipo siku isiyo na jina kweli atawaua endeleeni kumchekea mnadhani anatania? Endeleeni kuchekea ujinga km anadharau mpaka Serikali balozi nyumba 10 mwenyekiti Serikali ya Mtaa wote anawadharau na anatishia kuua sasa anasubiria nini uraiani atawaua kweli huyo huyo sio wa kukaa uraiani ni wa kufungwa jela
Hey naweza kupata information zaidi juu ya sober ama unitumie namba pm tafadhaliApelekwe soba utakuja nishukuru baadae! Angekuja Arusha ingependeza zaidi.
Yeah ndio hivyo labda zimemuathiri sana si unajua vichwa vya tofautianaHuyo ni mpuuzi tu, kuna watu wanakula bangi na pombe na hawana ghasia zozote na ni smart kuanzia kiakili mpaka kimwili.
Mama ameshafunga na kusali mwisho wa siku aumwe vidondaMAOMBI
MAOMBI
FUNGA NA KUSALI
IBILISI UTAMSHINDA
Mwamishe na mama yako basi asije akamuua hapoMimi nimeamua nihame tu nitafute pa kukaa kama watauliwa wa nyumbani basi ni juu yao… kama mama hataki mwanae afungwe anasema jela hajifunzi kitu tufanye nini sasa
Yeah mkuu, kuna Mb 128, Gb 10, mpaka Terabyte huko.Yeah ndio hivyo labda zimemuathiri sana si unajua vichwa vya tofautiana
Huyo sio mkandarasi huyo ni drevaHakuna mwanamke anaeweza kukaa nae anawadhalilisha wanawake kwa matusi ya nguoni wanamkimbia.. watoto anao 3
Kazi anayofanya ni ukandarasi anaendesha yale magari ya kujenga barabara
Ikawaje mkuu kwa faida ya wengiMdogo wetu mtoto wa baba yetu mdogo kampeleka police mwanawe wa kumzaakisha akaomba police wampeleke mahakamani. Mzee akamwambia hakimu. Huyu ni mtoto wangu nimechoka na mambo anayoyafanya. Naomba mahakama imuhukumu angalau miaka miwili ili akirudi huko labda atabadilika. Yule Hakim akamwambia kwa vile ni mara ya kwanza akamfunga miezi 6 hapo kuna mambo mengi yalipita na aliomba asipewe dhamana.
Tia ndani huyo akili zikae sawa.Jamani mpk naandika huu uzi hatujalala tunakesha kila siku
Kimsingi huyu ni kaka yangu mkubwa kabisaa wa mwaka 84 tumeshare mama.. Yeye ni mkandarasi.sijajua tatizo ni bangi ama amerogwa.. maana bangi ni chakula kwake na mapombe
Huyu ndugu yangu atakuja kumuua mama yangu na presha kama sio kumchoma kisu.. tumeshaongea nae sana mpk polisi kupelekana lakini Hakuna alichobadilika
Yupo nyumbani tangu mwaka 2023 na hataki kuondoka tena.. alirudi home akiwa hoi kwa kupigwa huko nnje kwa ujeuri wake,, sura imejaa alama za kutosha
Wakuu majirani wapangaji wetu hawana amani, amekuwa akiwatishia kuwakata mapanga na kuwatukana matusi ya nguoni.. anafanya fujo mtaani anatukana kila mtu. Anaweza kuvuta bangi hata ndani na Hakuna wa kumfanya kitu
Kinachoniuma zaidii anamtukana sana mama yaani matusi kabisaa ya nguoni tena akiwa nnje mpk majirani wanasikia
Hii hali namuona kabisaa mama anaumia
Mama yetu mwenyewe umri umeenda yuko na 62
Sasa nauliza tu kama nitaenda kumfungulia mashtaka polisi awekwe hata jera nitakuwa nafanya vibaya???
Huyu mtu anatembea na mapanga barabarani naogopa kuna siku anaweza kutuchinja
Na Kama Kuna mtu ameshawahi kukumbana na janga Kama hili kwenye familia au majirani walitumia njia gani kupambana na mtu kama huyu
Kwanini amuhangaikie mtu mzima wa miaka 41? Huyo ni kuhakikishe awasumbue yeye wala mama yake. Basi. Hauwezi badilisha tabia wala hulka ya mtu mzima. Hauwezi, ni kazi bure.Nenda ofisi za ustawi wa jamii hapo manispaa uliyopo muombe msaada wa vituo vinavyo toa hiyo huduma bure kwa msaada.
Au nenda ofisi ya ustawi jamii kwenye hospital kubwa kama Muhimbili, Mlonganzila, Amana Hospital Ilala, Temeke hospital, Mwananyamala hospital, Mnazimmoja, n.k.
Nenda kaombe msaada wa maelezo unawezaje kupata huduma hiyo kwa msaada wa wasiojiweza.
Unaona? Hili ndio tatizo. As long as he won't face consequences, he'll never change. Watu wa aina hiyo wanafanya upuuzi kwa kujua hakuna madhara. Especially kama kuna mtu anamdekeza(kumjali). Alafu huyo ni mtu mzima sana, beyond middle age. Kama hakujitambua tangu 20 basi hakuna kazi hapo. Waachane nae na wahakikishe hawasumbui tena. Let the bastard die alone.mimi naamini akifuatwa kwa namna sahihi akakalishwa chini bila kulahumiwa kwa anayoyafanya apo nyumbani atawasikiliza tu.
Tatizo anahisi mnataka mumfukuze apo nyumbani ndiomaana anapandisha na kuwa mkali, ata ungekuwa wewe kwenye viatu vyake lazima ungekuwa mkali tu.
Huyo kwenye maongezi yenu msimwambie habari za kuhama nyumbani mtazidi kumchanganya. Maongezi yenu yajikite zaidi kumtia moyo na kumuaminisha kuwa bado anayo nafasi nyingine ya kuanza upya maisha yake.
Na reaction ya huyu mleta mada na wengi humu ndio zinashangaza zaidi. Jamaa ni mshenzi, mpuuzi mmoja hivi.Huyo ni mpuuzi tu, kuna watu wanakula bangi na pombe na hawana ghasia zozote na ni smart kuanzia kiakili mpaka kimwili.
Hahaha, hii ndio biashara sasa. Mada ifungwe tu.Mi nauza mapanga yaliyoNOLEWA kabisa kwa bei cheeee sana,.... karibuni muniungishe wakuu [emoji120][emoji120]
wewe moja,...
kaka yenu moja,....
bi mkubwa moja,.....
wapangaji nao mojamoja...
karibu sana,......
Seriously? Why even bother?Pole sana ndugu yangu....mtu ambae hajawai kua na mtu wa aina hii kwenye familia hawezi kukuelewa...
Huyo haiitaji mwana saikolojia wala sobber house kwa sabab chanzo Cha tatizo kiko ndani ya familia na mama anajua vzur ...
Baada ya kijana kufanikiwa ndugu walipambana kumuaribu akili ili asimsaidie mzaza wake Bali awepoawepo tu kama hivyo na mwisho wa siku wamuue kabisa..
Ongea na mama anawajua vizuri ndugu zake au ndugu wa upande wa baba ...poleni Sana..
Wivu wa ndugu ndio chanzo hakuna kijana msomi wa kariba yake awe na tabia hzo kwa hiari yake mwenyewe..
Anatamani sana kuacha lakini hawez kwa sababu anavifungo vya kiroho alivyofungwa na ndugu zake...
Njia ni mbili hapo either mtatue kwa Imani ya maombi kanisani au kwa maustadh wamsomeee visomo ili afunguke OR...
Mwende kwa mganga amsaidie...
Uchawi upo ndugu zangu
Unajuaje tatizo ni la mzazi wa kike tu? Baba yake alikuwa wapi? Wajibu wa mzazi wa kiume ni kuendesha familia nzima, kama mzazi wa kike ana-influence kubwa kwa watoto kuliko baba. Basi tatizo ni la kwake na huyo baba ame-fail kama mzazi.Muache amuue Mamaako ili iwe fundisho kwa Wazazi wanaodekeza watoto wao.
Usipende kuingilia pale mtu anapopata matokeo ya kile alichokipanda