Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
CAG ameanza lini kuvumbua madudu kwa uwazi?. Tangu awamu ya nne yupo na uwazi huu na madudu anayavumbua kila kukicha.If you really believe what you have just written..., Pole Sana is all I can Say; Lakini kama unajua unachoandika sicho ila basi tu unaamua kupotosha ili unufaike kwa lipi I do not know..., lakini I doubt if what you are getting is a price worth of selling your soul (unless hata conscious hauna tena)
By the way nikukumbushe tu madudu aliyoyavumbua CAG ya upotevu wa mapesa ya UMMA lukuki hivi recently, ilikuwa ni AWAMU gani ?!!
Na upo uwezekano mpaka sisi tunaondoka duniani atakuwa anavumbua tu madudu, ni mentality tunayo ya kitaifa.
DPW anakuja kuongeza ufanisi wa bandari yetu. Sijui kama unafurahi kusikia meli moja inachukua siku mbili au tatu ikisubiri pale nje ya bandari. Sijui kama unafanya biashara yoyote yenye kukuweka karibu na bandari ukajua ni changamoto zipi zenye kuhitaji utatuzi wa haraka.
Tumuache SSH apige kazi.