Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

Dustbin yake iko mdomoni,kafanya makosa ya kiufundi tu mara hii akasahau kuitafuna
Huwa namini katika maisha kuna mambo huwa yanapaswa kuwa wazi ili yajulikane

Mfano expert wangu alikosea ili ukweli ujulikane

Kuna Dada mmoja alikuwa na mahusiano na bwashee mangi muuza duka,kwa jinsi mangi alivyokuwa Ana mhonga demu,basi mdada akaamua kumzalia bwashee

Mwisho siku akatuma text moja kimakosa badala ya kumfikia bwashee ikamfikia mumewe na siri ya kuzaa nje ikajulikana

Kwahiyo kuna makosa ya kuexpose mambo ili yajulikane
 
Kweli kabisa
 
Utakufa vibayaa wewe acha hiyo primitive itakupelekaa pabaya .
Na save huu ujumbe kila siku uusome
 
Swala la kufichana vilivyomo bank ni sahihi maana wake zetu wakijua zimo nyingi hata matumizi yanakua ni mabaya/mabovu,lakini pia hata kwenu likitokea jambo la kusaidia inakua rahisi maana ndoa zetu hizi na mambo fedha ni changamoto 🤣🤣
 
Swala la kufichana vilivyomo bank ni sahihi maana wake zetu wakijua zimo nyingi hata matumizi yanakua ni mabaya/mabovu,lakini pia hata kwenu likitokea jambo la kusaidia inakua rahisi maana ndoa zetu hizi na mambo fedha ni changamoto 🤣🤣
Kweli kabisaaa
 
Heeee, mwambie kuna watu wamepitishia hela Yao ya kutoa mzigo bandarini kwenye akaunti yangu. Yaani umekuwa soft hivyo.
 
Punguza uchoyo na siri zisizo na maana.
KAma una siri kweli za mambo hayo na hutaki yajulikane basi achana na ujinga wa kutumia ATMs wala kutoa pesa kwa slip.
Fungua Cheque account. Ukitoa pesa ni unapewa pesa yako mkononi hakuna cha risiti wala vipengele vingine
 
Sawa mkuu
 
Jitahidi wengine wajue, Amini Kuna watu wamekufa ghafla na zile Mali za siri zimeishia kwenye Makato ya benki. Madeni wanayodai watu wamechuna na familia imebaki inateseka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…