Nimefanya kosa kubwa Sana, Siri yangu ya muda mrefu imefichuka

Nikiwaza yale ya mchezaji wa Simbabwe Ndoro aliyofanÿiwa na mke yakampelekea dipression hadi kufia ndan hadi kukaa siku nne...naona ni sahihi tu hawa viumbe tuwafiche tu baadhi ya vitu...hii kuishi kwa kusema ni mwili mmoja ni mtego tu
 
Mda wowote tegemea kufa ndugu hivo viumbe vikishajua una hela tu vinajaa tamaa
 
Ndoa ni kwa wenye akili tuu.
 
Mkuu....
Hadi hapo minaona unaishi na adui, maana mkeo anapaswa kufaham kila unacho miliki hata ikiwezekana na pumzi pia
 
KUNA WANAWAKE WANA HURUMA SANA...KUISHI NA WATOTO WENYE AKILI CHANGA NAMNA HII...

NA KUNA WATOTO WAMEBAHATIKA KUGUSA HELA WAKIWA BADO VICHANGA...

MFANO NI KAMA HAKA KATOTO...KAKIKUA KATAACHA UTOTO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…