Atakuwa aliwaruhusu kuingia bandani kuchagua kuku mkuu hawa professional yao ni wizi kuna namna wanawakata wawili wawili kwa kasi ya ajabu kukuchanganya. Mm niliwahi kuona kwa mama yangu mdogo yaan alichukua kuku 40 ila nikaona mbona Banda kuku wamepungua sana tukapiga tanchi Tenga zitoke zihesabiwe upya alianzisha utata wa ajabu uzuri pale tulikuwaga vijana jirani wakaja pale tukakiamsha akadai atafidiwa muda wake anaopotezewa tukasema sawa huku tenga linafunguliwa tulikuta kuku 60 badala ya 40. Akadai tulikuwa tunahesabu ss yy alikuwa haesabu kuku anatoa tuMbona kama ulivyoeleza ni simple kuwabaini. Kwani wanakuchanganyia wapi?
Pole sana mkuu dah wakija wamejipanga na wamefanya surveyAsanteni 🙏🏽🙏🏽
Yan total waliyoniibia ni kuku 208
208x6500=1,352,000
Kiulainiiii kmmm
Yan wale wanatumia dawa plus kukuzubaisha kila mtu anakuongelesha huyu anakushauri hivi huyu hivi yani maneno mengi
Pisi kali ione hii
Mbona hujui kujieleza umendiaka niini saa 9 za usiku alafu tena saa12 ?Asubuhi ya leo nimeibiwa kuku wa nyama 200+ na wababa wa tano tena wana nguvu zao tu jamani😭😭😭
Alikuja mmoja na boda akasema nataka kuku 100, kaja saa12 alfajir akasema ngoja nikachukue tenga
Kurudi kaja na wababa 4 wana pickup nyeupe😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Wezi wenyewe hao hapo
Kuku mmoja wa nyama ni kati ya 10 mpaka 15k kwa kuki 200, ni zaidi ya huyo 1.5mCost is less than 1.5m? Pole sana, but you can surely recover!
Mbona naona kuwakamata ni rahisi. Misura yao inaonekana kabisa. Nenda karipoti polisiNdio na wamewaliza watu wengi sana
Pole sana...hakuna madawa, ni mbinu tu...........inahitaji uzoefu kujua michezo hiyo........wakati nafanya hiyo biashara, mimi au kijana wangu ni lazima kukaa kwenye mlango wa banda na kuhesabu kila kuku anayetolewa nje......Tulikua wawili
Wana mbinu plus madawa sijui imekuwaje yani😭😭😭😭
ni kweli ila huyu mtoa mada aliwaruhusu wote au zaidi ya wawili kuingia bandani akawa anawahesabu wakiwa mikononi mwao..Hapo unatakiwa kuhesabu mwenyewe unampa kuku mmoja mmoja akiwa mita Tano nje ya banda.ukimruhusu kuingia bandani utaibiwa na kuleta magonjwa kwenye Banda lako
PoleeNina majonzi nimeshindwa hata kuandika vizuri
Ila ni tukio la kweli na hao watu inasemekana ndio michezo yao muda mrefu sana