Nimekubali bora nigharamikie tu lakini kamwe sitakuja kununua malaya

Naunga mkono hoja. Ile kujua tu kuwa anauza ni kinyaa.
Ila kama humgharamii mwanamke ambaye ni pisi, nakuhakikishia lazima unagongewa. Yàani jua wewe ni kama mteja wa mizoga kwa sababu demu wako anakulwa na watu wasiojali kutoa hela.
 
Hii sasa ni special case. Tutajadili awamu nyingine
 
Uyo anaejiuza na anaetaka hela wote wana-provide nini in-return? . Bila shaka ni sex tu. Kwaiyo ni biashara ile ile wametofautiana mbinu tu
 
Uyo anaejiuza na anaetaka hela wote wana-provide nini in-return? . Bila shaka ni sex tu. Kwaiyo ni biashara ile ile wametofautiana mbinu tu
Mkuu hapa hatuongelei exchange of services tunazungumzia Status of the Service provider
 
Ila wanaonunua malaya wana roho za paka me hata mwanamke akinicheat sitaki kumsikia tena. Kununua malaya labda kama hauna hela unajitafuta lakini una pesa na maendeleo weka bidada ndani
 
Ila wanaonunua malaya wana roho za paka mr hata mwanamke akinicheat sitaki kumsikia tena. Kununua malaya labda kama hauna hela unajitafuta lakini una pesa na maendeleo weka bidada ndani
Wanunuaji wengi ni wale kipato duni au hawana akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…