Nimeona post za kumkumbuka Magufuli zimeongezeka sana mitandaoni. Je, sababu ndiyo hii ninayohisi mimi?

Na bado tu kutangaza ule mnada wa majobless πŸ˜‚
Pengine watapatikana watu wawili tu au watatu

Nchi imejaa watu wengi walioajiriwa kwenye mashamba yaliyotapakaa nchi nzima.

Umesahau October 2020 tulifanya mapinduzi ya kijani? haya yamesaidia kuinua kilimo chetu cha mbogamboga.

Wengine tumejiajiri, tunamiliki viwanda. 🀣🀣
 
Sa itakuaje mama mtumishi akisombwa kwenye mnada?πŸ˜‚
Au aingie kwenye ajira ya mbogambogaπŸ€”
 
Reactions: Pep
Sa itakuaje mama mtumishi akisombwa kwenye mnada?πŸ˜‚
Au aingie kwenye ajira ya mbogambogaπŸ€”
Wanalipa buku 7 kwa siku.

Kuna ajira za palizi na kuchuma mboga.

Lakini pia kuna ajira zingine za kuzalisha pumba tayari kwa kuzipeleka mitandaoni
 
Wanalipa buku 7 kwa siku.

Kuna ajira za palizi na kuchuma mboga.

Lakini pia kuna ajira zingine za kuzalisha pumba tayari kwa kuzipeleka mitandaoni
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa unavyoniona mimi baba ,unadhani ipi inanifaa hapo?
 
Reactions: Pep
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwa unavyoniona mimi baba ,unadhani ipi inanifaa hapo?
As long as unafahamiana na mmoja kati ya ma bwana shamba, Bia Yetu...jikite tu kwenye palizi. Atakua anakupa favor
 
As long as unafahamiana na mmoja kati ya ma bwana shamba, Bia Yetu...jikite tu kwenye palizi. Atakua anakupa favor
πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Una uchizi mwingiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Reactions: Pep
Ni kweli nimeona hiyo Fb nikajiuliza kulikoni
 
Karata za Magufuli ilikuwa ni kupora uchaguzi, ndio karata hizo zichezwe?
cha mtoto mbona.

2025 uchaguzi na Magufuli na wapinga magufuli.

Atakae cheza karata za Magufuli anaingia ikulu asubuhi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…