Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Na bado tu kutangaza ule mnada wa majobless 😂Nchi imefunguka sana.
Huoni namna vitu vimeshuka bei? gesi, mafuta, vifurushi.....vyote ni bwerere.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na bado tu kutangaza ule mnada wa majobless 😂Nchi imefunguka sana.
Huoni namna vitu vimeshuka bei? gesi, mafuta, vifurushi.....vyote ni bwerere.
Pengine watapatikana watu wawili tu au watatuNa bado tu kutangaza ule mnada wa majobless 😂
Sa itakuaje mama mtumishi akisombwa kwenye mnada?😂Pengine watapatikana watu wawili tu au watatu
Nchi imejaa watu wengi walioajiriwa kwenye mashamba yaliyotapakaa nchi nzima.
Umesahau October 2020 tulifanya mapinduzi ya kijani? haya yamesaidia kuinua kilimo chetu cha mbogamboga.
Wengine tumejiajiri, tunamiliki viwanda. 🤣🤣
Wanalipa buku 7 kwa siku.Sa itakuaje mama mtumishi akisombwa kwenye mnada?😂
Au aingie kwenye ajira ya mbogamboga🤔
😂😂😂😂Wanalipa buku 7 kwa siku.
Kuna ajira za palizi na kuchuma mboga.
Lakini pia kuna ajira zingine za kuzalisha pumba tayari kwa kuzipeleka mitandaoni
As long as unafahamiana na mmoja kati ya ma bwana shamba, Bia Yetu...jikite tu kwenye palizi. Atakua anakupa favor😂😂😂😂
Kwa unavyoniona mimi baba ,unadhani ipi inanifaa hapo?
🤣🤣🤣🤣😂😂🙌🙌🙌🙌As long as unafahamiana na mmoja kati ya ma bwana shamba, Bia Yetu...jikite tu kwenye palizi. Atakua anakupa favor
ASANTETunatimiza unabii wake aliposema tutamkumbuka kwa mema!
Utaiona tu endelea kukodoaMimi sijaona hiyo kitu.
Sijaelewa hoja yako unaweza fafanua kidogo
Wakina nani wanateswa na usukuma sasa? Unamaanisha hao wote wanaomkumbuka hakuna makabila mengine ni wasukuma tu!? Au ukimkumbuka unageuka kuwa msukuma?Hakuna sababu yeyote zaidi ya kuteswa na usukuma wenu!
Ni kweli nimeona hiyo Fb nikajiuliza kulikoniInavyoonekana katika siku za hivi karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa sana la watu mbalimbali katika mitandao ya kijamii, wakipost picha za hayati Magufuli na kuambatanisha na jumbe za kumkumbuka na wakati mwingine emoji za majonzi au moyo kuchanika.
Hii ikanifanya nijiulize, mbona viongozi wengine hufa na akisha kufa mnaishia kuomboleza na kusahau!?
Ndipo likanifanyi nihisi kwamba zipo sababu mseto za watu kumkumbuka huyu kiongozi ambazo ni kuondolewa machinga, bei za bidhaa kupanda hovyo, kutomkubali mrithi wake, kutoridhishwa na uendelezaji wa miradi aliyoisimamia na kurudishwa madarakani watu aliowatumbua.
cha mtoto mbona.
2025 uchaguzi na Magufuli na wapinga magufuli.
Atakae cheza karata za Magufuli anaingia ikulu asubuhi tu.
Mbona pesa ndogo sana hizo. Halafu fuatilia hiyo software imekuwa committed na nani.Bil 60 Zinatumika kukodisha software Tanesco, shwain kama wewe unaona hawaibi.
Kwani wewe unaelewaga basi?Karata za Magufuli ilikuwa ni kupora uchaguzi, ndio karata hizo zichezwe?
Kwani wewe unaelewaga basi?