Nimepata mtoto wa kiume usiku huu, baada ya kuwa kwenye ndoa kwa zaidi ya miaka 7

Nimecheka sana,hao ndugu wa mke walikuwa washenzi sana yaani kama mbwai na iwe mbwai-Eti gawa uroda kwa wanaume wengine huyo mmeo hamna kituπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vipi mkewe akipata tatizo la kumfanya ajisaidie akiwa amelala? [emoji848]
 
Hongera sana.
MUNGU amjalie afya njema
 
Unatoaje ushauri kama huu mkuu, unajua maumivu ya kukaa Kwenye ndoa bila mtoto....kuna wakati unajikuta Baba WA watoto wote mtaani...yaani you simply love children sembuse aliyezaliwa na mkeo?

Mkuu puuza mwenye Uzi puuza huu ushauri....you are the real father to your kid.
 
Dah, Una wivu
 
Naunga mkono hoja wanawake akili zao wanazijua wenyewe
 
Hongera sana Mkuu
πŸŽ‰ πŸŽ‰ πŸŽ‰ πŸŽ‰ πŸŽ‰
 
Sitakujibu mengi isipokuwa jibu Moja tu.

Anza wewe kunionyesha majibu ya DNA aliyopima baba Ako kujihakikishia kuwa wewe ni mwanae mzazi.

Kama hayapo basi pongezi Kwa mama yako kukaa na Siri hiyo Kwa miaka mingi.
 
Hongera sana mkuu. Hongera sana kiongozi . Amen Amen
 
Ila nimepigwa pazuri mkuu,

Unanikumbusha mbali mkuu, nilivofanya vizuri mtihani wa darasa la 7 nilisikia watu wakisema nimepata Kwa kutazamia kwani hata kusoma sijui.

Nikaja kufanya vizuri kidato Cha nne, wakakaa kimya hawakusema chochote.

Nikazidi kufanya vizuri kidato Cha sita, ndo wakaanza kunipongeza.

Kwahiyo we tunza wazo lako nitakuwa nakuletea idadi mpaka useme hongera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…